Fountain Gate Academy ni mfano wa shule za kuchukuliwa hatua

Kama wewe ni mzazi wa mmoja wa hao watoto ..wise choice toa Toto yako hapo peleka shule za serikali akasome saa mbili mpaka saa sita πŸ˜€πŸ˜€ ili kuepusha baadhi ya malalamiko yasiyo na maana
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mkuu ni hilo tuu tena shule binafs sisi wa Tanzania ni wapuuz sana ela yako unalalama si umuamishe huyo mtoto kila ktu mnalia lia kwa serikali wakat hamjakatazw kupelek watoto government school

Experience from south korea mtoto wa miez sita anaanza somew vtabu mwaka 1na nusu yupo baby class
 
Kuna option nyingi za kutosha hapa mtaani kwetu kuna shule za ummah wanaigia saa mbili wanatoka saa 6 na ada yao ni almost free, kwahiyo nakushauri ubadilishe.
 
Pitia uzi wangu nimeandika kuhusu shule za binafsi! Kwa bahati mbaya dunia haitaki mambo ya A wala maksi bali umahiri na ubunifu!
Wazazi ndio tunakomalia watoto wateseke ili wapate A ili kesho tuililie serikali ajira.
 
Fuata taratibu za shule huo ndio utaratibu wao na Siri ya mafanikio

Utaratibu gani?.
 
Watoto sikuhizi wanasoma jamani ndio maana div one kila mtu anapata sikuhizi, Kama std four anasoma masaa 12, kakifika form four sikanapita tuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.
 
Hongera Fountain Gate academy nyinyi ni wa kuigwa na mfano bora.

Wacha hawa wanaosoma masaa nane waendelee hivyo hivyo tutakutana kwenye results!

Hakuna maneno tunyukane kwenye matokeo.

Una sound kama wewe ni mwalimu, mwalimu mkuu au mkurugenzi wa hii shule. Ila fact ni kwamba watoto wanafaulu private kuliko shule za Government sio kwa sababu mnawafundisha watoto kwa masaa 11 kwa siku, moja ya sababu ya msingi ni kwamba nyie mtoto kuanza darasa la kwanza kuna interview, akifeli, yaani mkiona hana uelewa mkubwa mnasema amefeli hivyo hamumpokei. Hivyo nyie tayari mnakubali wanafunzi ambao ni passing materials, kisha mnaendelea kuwaandaa, wale waliofeli kwenu wanaenda shule za serikali sasa. Ambako ni kuandika jina tu na kuingia darasani, hakuna interview. Shule private zisijilinganishe na Government school, nyie jilinganisheni na FEZA, IST, Kemilembe etc, ambazo wao hawafanyi ujinga wa kuwatesa watoto kusoma masaa 11 na wanafaulu. Igeni wenzenu wanavyofundisha
 
Mkuu ni kitendo cha wewe kuachana na hiyo shule na kumtafutia mtoto shule nyingine. hakuna haja ya kuumiza kichwa kwa vitu vyenye machaguo kadha wa kadha

Kweli, mimi tayari nimeshamuhamishia mwanangu shule nyingine tayari, ila nawaonea huruma watoto waliobaki na hata wazazi ambao wana malalamiko pia, lakini ukishalipa ada, ada hairudishwi, wengi hawana uwezo wa kulipa ada mara mbili ukiwa hujajiandaa kwa hilo
 
Nchi inajiendeaendea tu...
Hakuna mwenye mamlaka.. kila mmoja anajiamulia cha kufanya.
Hovyooo
 
Tanzania Hakuna Jambo Lenye Mwongozo Zaidi Unayoyaona Ni Mwayangumwayangu Tu
 
Nchi inajiendeaendea tu...
Hakuna mwenye mamlaka.. kila mmoja anajiamulia cha kufanya.
Hovyooo
Waziri Anayehusika Ama Viongozi Wanakula Maisha Wanaacha Kila Kitu Ama Watu Wajifanyie
 
Pole sana na kifo cha Teacher Bhoke
 
Wenye mamlaka wanapita nafikiri na hilo watalitazama
 
Mbona hilo ni shule zote? Hata za serikali. Wengine wanataka watoto wapelekwe boarding kipindi hicho. Tamko la jumla litolewe kwa shule zote.
 
Hongera Fountain Gate academy nyinyi ni wa kuigwa na mfano bora.

Wacha hawa wanaosoma masaa nane waendelee hivyo hivyo tutakutana kwenye results!

Hakuna maneno tunyukane kwenye matokeo.
Mwisho wa siku wote mnakutana kwenye soko la ajira na ajira hakuna aisee!!

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…