Fountain Gate Academy ni mfano wa shule za kuchukuliwa hatua

Lazima watoto wafundishwe umhimu wa kuamka asubuhi na mapema na kufanya kazi kwa bidii kwa muda mrefu.

Kama unataka kulea watoto wako kimayai mayai, kaa nao nyumbani.
 
Sio hao tu, shule kibao za binafsi naona zimeona hiyo ndio trend kwa sasa, sijui ni miongozo ipi ya wizara husika inayowapa nafasi ya kufanya hivyo!

Yaani shule zimekuwa zikiumiza watoto, ili zenyewe zipaishe majina yao kwa kuwa na ufaulu mzuri wa kulazimisha...

Hivi mtihani wa darasa la 4 kweli ndio wa kusomesha watoto kama wanatafuta ajira NASA!
Yaani eneo la mraba urefu Mara urefu wake huo huo. Ndio mtt akashindie shule kiasi kwamba akose basic skills za ukuaji. Yaani Kuna watu Ni malimbukeni na shule Mara utamsikia anajisifia mbele ya watu kuwa nasomesha nalipa Ada 5M ,Kama zile enzi kuwa mie redio yangu nimenunua laki mbili sio Kama Ile ya masanja alinunua laki moja na nusu.

Siamini kuwa kutoa hela nyingi ndio guarantee ya best education. Nimesoma na nimekuwa nafanya biashara.
Wateja unatenganisha mchele sampo moja Ila unaweka Bei tofauti,Ila Cha ajabu wanakomalia ule wa Bei ya juu kuwa una Nini. Yaani ukijua akili za binadamu utaishi kwa amani mno. We've a lot of fuckiiiiniii mental flaws of processing information.

Bidhaa ikiganda tu dukani naipandishia Bei mbona itanunuliwa.
Yaani watu wanaaminia kuwa price is equal or signify quality.
Hata hichi kitu Warren buffet anakiongea kila siku kuwa cheki quality not price.

Ego tu zinasumbua watu na Zinawa drive.

Let say mtu wa iPhone anafanya Nini kwa simu yake ambacho mie siwezi fanya,Ila ninamiliki iPhone 15 max pro,dola alfu moja nimenunua direct USA kabisa.
 
Ume quote post sahihi kweli?
 
Hii Shule kwenye matawi yake yote ya Dar na Dodoma wanalazimisha watoto wa darasa la 4 na 7 kuanza masomo saa 12 asubuhi na wanamaliza kusoma saa 11 na nusu jioni. Yaani watoto wadogo wa miaka 7 au 8 wanasoma kwa masaa 11 na nusu kwa siku. Sijui kama kuna maana nyingine zaidi ya kuwanyanyasa watoto.

Hivi kuna hata chuo kikuu mwanafunzi anasoma masaa 11 na nusu kwa siku?

Kibaya zaidi, hakuna option ya school bus kwa watoto wa darasa la 4 na 7, maana wanataka lazima mzazi umlete mtoto shule na urudi kumfuata hiyo jioni. Wanafanya hivyo ili mzazi aone ratiba na gharama ni ngumu na hivyo ni kama wanalazimisha mtoto apelekwe boarding, wana boarding ambayo ada inaongezeka toka Tshs 2.2M kwenda Tshs 4.4M. Yaani kuongeza kipato kwa shule ndio malengo makuu bila kujali usumbufu kwa watoto. Mabweni yao yenyewe wala hayako maeneo ya shule, kama shule ya Dar, shule ipo Tabata Barakuba ila Mabweni yako Kinyerezi.

Mabadiriko ya utaratibu mzazi unaambiwa tayari mtoto akiwa darasa la Nne, yaani wakati anasoma la 1 hakuna sehemu wanasema akifika la 4 hatatumia school bus na atasoma kwa masaa 11 na nusu.

Malalmiko yako mengi toka kwa wazazi na shule ziko nyingi zinazofanya kinyume na maelekezo ya wizara ya Elimu lakini hakuna hatua sheria inachukua, hata ya kuwakemea tu, ipo kimya.

Haya: Ongeza orodha ya shule zingine zenye haya matatizo.
Wenetu wanatumika vibaya ili shule ionekana wamepata ufaulu wa daraja la juu kwa gharama ya maisha ya hawa watoto wadogo.
 
Anazak iliyopo kimara wananza masomo saa kumi na mbili na kumaliza saa tatu usiku
 
Huu ujinga haupo kwa shule zinazomilikiwa na kanisa katoliki
 
Nitumie prem number ya kijana tumuhamishie hapa nilipo... Ila watoto 21 wamefeli kwa bahati mbaya la saba
 
Inasikitisha kuona wazazi wanafurahia kuona watoto wao wanatumia saa 12 kusoma parts of grashopper. SMH
 
Na shule ya sekondari Oljoro ambayo watoto wanapanda malori ya mchanga pale kona mbauda asubuhi kwenda shuleni na saa nyingine kuyakosa na kutembea kwa mguu kwa masaa mawili waende kulalamika wapi? Nyie wazazi mnaosomesha watoto shule zinazomilikiwa na watu binafsi (kwa mfano Mr & Mrs Minja) hamna tofauti na ile misukule ya Mwamposa na manabii feki.

Kama wazazi hamuwezi kukemea upuuzi wanaofanyiwa watoto wenu mnataka nani hapa JF awasaidie? Mimi nimesoma St Kayumba ila hata waalimu walikuwa hawavuki mipaka yao ya kazi kwasababu wazazi nao hawakuwa wanavumilia ujinga. Halafu shule za kulipa kodi 2m kwa mwaka ni za hovyo. Jipige peleka mtoto shule za kuanzia 5m. Huko hakuna upuuzi.
 
Fortune primary school ina tatizo ingawa si kama hilo. Walimu wanafanya mambo ya ajabu sana. Mmiliki hana muda niliamua kuondosha mwanangu.

Nashangaa wazaz sijui tumerogwa na nani
 
Back
Top Bottom