stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Toyota Mark 2 Gx81 ina 6 cylinder na 2000cc.Sijawahi Kuona Gari ya 6cylinders ikawa Na 2000cc. Huku north America Gari zote za V6 zinaanzia 3000cc hadi 4200cc. Wanajuwa zaidi fafanueni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toyota Mark 2 Gx81 ina 6 cylinder na 2000cc.Sijawahi Kuona Gari ya 6cylinders ikawa Na 2000cc. Huku north America Gari zote za V6 zinaanzia 3000cc hadi 4200cc. Wanajuwa zaidi fafanueni
Uko vizuri lkn ngoja niongezee kidogo kuhusu ulaji wa mafuta, torque,in relation to cylinder number ktk engine.Sina tofauti sana na wachangiaji wa mwanzo ila hapa nataka kuongezea kidogo nilicho nacho. CC ni kifupi cha centimeter cubic ( sentimeta za ujazo) wa cylinder moja kati ya 4 au 6. Kuwa na CC moja na namba za cylinder tofauti inawezekana. tofauti tutayoipata ni Torque ya Engine au kwa kiswahili ni nguvu inayotoka kwenye Engine, Pia ni tofauti kabisa na ulaji wa mafuta. Ulaji wa mafuta unategemea mfumo wa mafuta wa Engine husika..e.g huwezi kufananisha ulaji wa mafuta wa mfumo wa VVTI na EFI au conventional japokuwa zinaweza kuwa na CC moja ya cylinder, yote hayo ni kwa sababu ya utofauti wa technology.
Kabisa wala si upotoshaji.mnaandika maelezo mengi marefu afu hamna kitu.....unawezaje kusema engine ya cc 2000 cly 4 inakula mafuta mengi kuliko ya cc 2000 cly 6?? tumia akili acha upotoshaji
Huyo mwenye 2000cc lakin six cylinder atakuwa na ulaji mkubwa wa mafuta na gari yake itakuwa na nguvu zaid kuizid ya four lakin pia six itakuwa na speed zaid.Habari wakuu naomba kuweka kwenu huu mjadala mtu anayetumia cc 2000 lakini four cylinder na anayetumia cc 2000 lakini six cylinder.
Hapo tofauti ni nin
Hapana mkuu hapo kwenye mafuta nadhani six itakuwa inafungua zaidSix cylinder ina nguvu sana na inakimbia kukiko 4 cylinder! Na six cylinder inakunywa mafuta madogo kiasi ukilinganisha na 4 cylinder.
Lugha nyingi zinakopa maneno mkuu kuna kitu kinaitwa kutohoa yani unaazima neno toka lugha nyingine unalitumia kwny lugha yako ili kufikisha ujumbe,we tiririka tu mkuu km hakuna la kisw weka lililopo tutaelewa tu!ni sawa, kumbuka namba nilizoziweka hapo juu sio halisia ila zimetumika kuelezea uhusiano wa cylinder na cc.
pia kuna upungufu wa maneno ya kiswahili ya kuelezea mambo haya tofauti na kingereza labda ni kwa sababu mm siyajui au hayapo kabisa. mfano power, energy, force, torque zote nazijua kama nguvu kwa kiswahili japo kwa kingeleza ni nguvu zenye ujumbe tofauti.
pia mm sio mtu mwenye taaluma ya magari na injini ila nina uelewa fulani fulani.. nimejitosa baada ya kuona uzi hajapata wa kuusemea vizuri.. hata hivyo ni mwanzo mzuri kwa wenye uelewa zaidi kuweka ufafanuzi mzuri zaidi
Msamehe tu huyo jamaa yetu nimewawekea waone the same car kwa cc lkn moja ni 4cyulinder na ya pili ni 6 cyilinderKabisa wala si upotoshaji.
Cc2000 cylinder 4 mechanical fuel injection inakula kilimo 2000cc 6cylinder electronic mechanical fuel injection.
Ktk electronic mechanical fuel injection ambayo ni 6cylinder kwa taarifa yako usidhani injection ya mafuta inafanyika ktk cylinder zote kwa wakati moja.its depends on throte comand ya mguu wako.
Ni bora ungeuliza kitu ambacho hukuelewa kuliko kusema napotosha.
4cylinder mechanical fuel injection ina open loop
6cylinder electronic mechanical fuel injection ina closed loop with a feed back.kwa nini ile mafuta
Go to hell nyumbu
Sio elimu ya kuunga hapo kaongea la maana sana sababu koki nne zinaweza zikawa zina tundu lenye vipenyo vikubwa kuliko koki sita lenye tundu zenye vipimo vidogo hapo unafikiri tank lipi litawahi kuisha maji, lenye vitundu vyenye vipenyo vidogo au lenye vipenyo vikubwa?Elimu ya kuunga unga mna maswali ya shombo mno.
In lin arangement ipo tofauti na v arangementMe nna swali...inline arrangement ya cylinder ni sawa kuita V?...maana naona kuna mtu amerefer 1G kama V!!!
Ndo nikashangaa nikajua labda mm ndo ninakosea maana nimeona mtu anasema ukiona gari ya cylinder 4 ujue ni V4 na 6 ni V6...inamaana engine zote ni V arrangement...what about rotary engines nazo c watasema ni V6...[emoji124] [emoji124]In lin arangement ipo tofauti na v arangement
Unamaanisha nini unaposema rotary engines?Ndo nikashangaa nikajua labda mm ndo ninakosea maana nimeona mtu anasema ukiona gari ya cylinder 4 ujue ni V4 na 6 ni V6...inamaana engine zote ni V arrangement...what about rotary engines nazo c watasema ni V6...[emoji124] [emoji124]