Tatizo wewe huijui Tanzania unapiga kelele ukiwa Kibera. Magufuli alipoingia madarakani kampeni yake ya kwanza ilikuwa ni kutengeneza madawati, yalitengenezwa madawati mengi nchi nzima kuzidi uwezo wa vyumba vya madarasa nchini, kiasi cha kusababisha madawati mengine kuhifadhiwa nje na kuanza kuharibika.
Tulipoanza kutoa elimu bure, idadi ya wanafunzi imeongezeka na kusababisha wanafunzi kujazana katika chumba kimoja, Tanzania tunashida ya vyumba vya madarasa kuweza kuhifadhi madawati na kupokea idadi kubwa ya wanafunzi, hatuna shida ya madawati, infact tuna madawati ya ziada yasiyotumika.