Four million people in middle income Kenya are to die of hunger

Four million people in middle income Kenya are to die of hunger

Huu mjadala wa superiority kati ya Tz na Kenya sio mzuri. Kama EAC partners, tungejadili jinsi ya kuwasaidia wenzetu pale shida inapompata mwenzake. Kama kumekua na ukame, kwetu ni opportunity kuuza mazao kwao. Na tumeuza mahindi mengi tu. Ila TZ tumekua na sera nyingi nzuri za kilimo, kama kutoa ruzuku za mbolea na ndizo zimetusaidia kuzalisha ziada. Ile slogan ya KILIMO KWANZA ya Mh Pinda ilikua nzuri sana. Japo kulikua na changamoto ya masoko baada ya kuzalisha sana.
 
Back
Top Bottom