Four million people in middle income Kenya are to die of hunger

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
ION Speed bikers to host super speed race in ruiru exit 12 of the TSH. The first in Kenya drag race will be on tomorrow starting from 9am.
 
Hivi watoto wa shule kukaa chini ni jambo la kushangaza nchi hii kama hata DAR kuna shule watoto wanakaa chini sembuse iwe Mbeya.Basi na makonda asingekarabati ofisi yake pesa yote angeenda kununua madawati.Au hata Raisi asingeweka mafuta kwenye gari zake ili hiyo hela inunue madawati.

Jiji la Mbeya msinunue gari la Meya, mtujengee madarasa kwanza
 
Tatizo wewe huijui Tanzania unapiga kelele ukiwa Kibera. Magufuli alipoingia madarakani kampeni yake ya kwanza ilikuwa ni kutengeneza madawati, yalitengenezwa madawati mengi nchi nzima kuzidi uwezo wa vyumba vya madarasa nchini, kiasi cha kusababisha madawati mengine kuhifadhiwa nje na kuanza kuharibika.

Tulipoanza kutoa elimu bure, idadi ya wanafunzi imeongezeka na kusababisha wanafunzi kujazana katika chumba kimoja, Tanzania tunashida ya vyumba vya madarasa kuweza kuhifadhi madawati na kupokea idadi kubwa ya wanafunzi, hatuna shida ya madawati, infact tuna madawati ya ziada yasiyotumika.
 
Jiji la Mbeya msinunue gari la Meya, mtujengee madarasa kwanza
 
Mtanzania mwenzako anaulizia fursa za kibiashara, alafu we unamjibu kwa pumba. Anayemzuia asafirishe 'mahindi yake' hadi kwenye soko za Kenya ni wakenya? Jione!
anachokisema ni kweli ushindani wa kenya na tanzania ni wa wazi hauwezi badilika haraka kwa kua chanzo chake kikubwa ni soko la rwanda na uganda.
 
When will Kenyans stop responding to stupid people, stupid posts and stupid threads like this one? The more attention you give them the more they don't look that stupid in their stupid.
 
Why is it that some Kenyans feel that all Tanzanians are stupid and their opinions on certain issues ought to be ignored. When a Kenyan asks a Tanzanian a genuine question, some Kenyans get pissed off. Is it that some Kenyans think that they are all knowing and almighty and that Tanzanians are all stupid and irrelevant. Then what is the point of Jamii forums, if we can't question our brothers from across the border? If someone doesn't like Jamii forums, they should just boot off. Infact Jamii forum is a public forum and doesn't belong to anyone so no one has the right to tell another how to behave in here. If the heat is too much people should just get out of the kitchen.
 
One of the reasons Kenya is decelerating in many sectors, and in fact is doing many mistakes in projects and other area of developments, and why tribalism and corruption will never end, is because Kenyans think they know each and everything, they are not ready to learn from others.
 
there ego is over the ceiling!
 
waache longolongo waje na mipango ya
kuwanusuru na njaa masikini wakenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…