Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nyani ngabu unajishushaaaa mnooo na comments zako ni bora usiandike choxhote pita tu
Sasa ndiyo nimeelewaWewe umemjua majuzi,fuatilia post za 2015 kurudi chini,,alikua anti establishment huyo,sijasema alitekwa akawekwa kwenye salphet,,,nimesema aliishia kunako salfet,,,figure it out for yourself...🏃🏃🏃
Msando anakusalimiaHuyu padri wenu yuko wapi sasa hivi? Kwenye li friji au li friza?
Tatizo ni kuwa unaweza kufa wewe kabla yake.Na bado!
Siku akifa yule jamaa yenu nitaenda kulifukua kaburi lake nipige picha mzoga wake halafu niwaletee JF ili mtambue kuwa hata nyie mtakufa tu na sie tutashangilia!
Kwa wengi wenu huyu alikuwa mchambuzi na mwandishi mwenye ujumbe wa kuvutia sana hata kama haukuwa unaupenda. Lakini kwangu alikuwa Padre (aliyenihudumia kama muumini akiwa bado akitumikia madhabahuni), alikuwa ndugu katika Imani (nikiishi naye zaidi ya miaka kumi katika jumuiya moja ya kikristu); zaidi ya yote ni mtu aliyesimamia elimu yangu tangu kidato cha kwanza mpaka cha Sita.Baba Privatus #Karugendo amefariki dunia usiku huu.
View attachment 1829219
Mimi nimemkumbuka Fr Batsi Mapunda aiseeKwa Heri Father - Asante kwa Yote!
Kwa wengi wenu huyu alikuwa mchambuzi na mwandishi mwenye ujumbe wa kuvutia sana hata kama haukuwa unaupenda. Lakini kwangu alikuwa Padre (aliyenihudumia kama muumini akiwa bado akitumikia madhabahuni), alikuwa ndugu katika Imani (nikiishi naye zaidi ya miaka kumi katika jumuiya moja ya kikristu); zaidi ya yote ni mtu aliyesimamia elimu yangu tangu kidato cha kwanza mpaka cha Sita.
Padre Privatus (kwa wasiojua upadre wa ukatoliki haufutiki hata ukioa) kwa ufupi kabisa mbali na sifa mnazozijua za kutoogopa kusema anachoaamini na ujuzi wa kuandika kwa mantiki ya juu (logic) alikuwa na sifa kubwa mbili za ziada: 1) Upendo - alipenda sana watu. Upendo wake haukuwa wa maneno tu bali matendo. Padre angekupa kitu alichonacho na akajiacha bila kitu. Siku moja wakati naenda Shule alinipa hela ya matumizi nikasema haitatosha kabisa kwa kila kitu. Japo hela haikuwepo na nilipokataa kutoka chumbani kwake alichukua net yake ya mbu iliyokuwa nzuri sana akanipa kama sehemu ya kupunguza makali ya budget yangu. 2) Jambo jingine alikuwa mnyenyekevu sana. Kama ungemwandikia jambo lisilompendeza aliamua kukaa kimya badala ya kuleta ugomvi. Lakini nakumbuka zaidi wakati anaanza kuwa maarufu kupitia makala zake, japo alikuwa msomi zaidi yangu aliyekuwa amesafiri sehemu mbalimbali nje ya nchi, hakusita kunifuata (form six leaver by then) kusoma articles zake na kurekebisha logic na kiswahili chake. Alifanya hivyo kwa unyenyekevu mkubwa!
Namshukuru sana sana kwa kuamua kufunga ndoa rasmi na mke wake baada ya kusubiri muda mrefu maamuzi ya Vatican. Namwombea mapumziko mema na Huruma ya Mungu kwa Roho yake. Fr. Nitakumiss sana kama ambavyo wengi sana waliokufahamu watakavyokumiss! RIP Kalugendo Fr. Privatus!
Unapo andika maneno ya dhihaka kama haya sijui unamaanisha nini.....Nyumbu mbona unatoa povu? Mwenzio keshaanza kutoa funza 😂😂
à
Naye corona imemchukua 🤣🤣🤣
Msaada tutani tafadhariView attachment 1829129
RIP Privatus Mutekanga Kalugendo
Look like watu walivyofurahia kifo cha lile jibwa haribifu huko Kitulo, uliumia vya kutosha.Hahahaaa!
Naye anaenda kuoza na kuliwa na funza!!
Kumbe na wao huwa wanakufa eh 🤣.
Wapi tabata kusiwani auRIP jirani yangu wa miaka hiyo
Sasa hili jina la Kamugisha ni la Mpenzi wake/mke/mama yake / Binti yakeRIP jirani yangu wa miaka hiyo
Kama askofuWakuu kwa MUJIBU wa Sheria za kanisa Karugendo anazikwa Kama MPAGANI au Kama Padri???