TANZIA Fr. Privatus Karugendo amefariki dunia

Nyani ngabu unajishushaaaa mnooo na comments zako ni bora usiandike choxhote pita tu

Na bado!

Siku akifa yule jamaa yenu nitaenda kulifukua kaburi lake nipige picha mzoga wake halafu niwaletee JF ili mtambue kuwa hata nyie mtakufa tu na sie tutashangilia!
 
Wewe umemjua majuzi,fuatilia post za 2015 kurudi chini,,alikua anti establishment huyo,sijasema alitekwa akawekwa kwenye salphet,,,nimesema aliishia kunako salfet,,,figure it out for yourself...🏃🏃🏃
Sasa ndiyo nimeelewa

Kwahiyo saivi wakikutana Nyani wa 2015 na huyu wa sasa lazima pachimbike?😂😂
 
Wakuu Naomba Kujua Ila nafanya reference kwa Marehemu Karugendo, Kwa Imani Yako ya Kiromani, Ukiacha upadri na kufunga ndoa. Je Ukifariki Utazikwa Kama Padri au Kama Nani?
 
Huyu padri alikua mzalendo na mwenye mapenzi yakweli na nchi yake.
 
Pumzika kwa amani fr karugendo. Nilikuwa nasoma sana makala zako online
 
Na bado!

Siku akifa yule jamaa yenu nitaenda kulifukua kaburi lake nipige picha mzoga wake halafu niwaletee JF ili mtambue kuwa hata nyie mtakufa tu na sie tutashangilia!
Tatizo ni kuwa unaweza kufa wewe kabla yake.
 
Kwa Heri Father - Asante kwa Yote!
Baba Privatus #Karugendo amefariki dunia usiku huu.
View attachment 1829219
Kwa wengi wenu huyu alikuwa mchambuzi na mwandishi mwenye ujumbe wa kuvutia sana hata kama haukuwa unaupenda. Lakini kwangu alikuwa Padre (aliyenihudumia kama muumini akiwa bado akitumikia madhabahuni), alikuwa ndugu katika Imani (nikiishi naye zaidi ya miaka kumi katika jumuiya moja ya kikristu); zaidi ya yote ni mtu aliyesimamia elimu yangu tangu kidato cha kwanza mpaka cha Sita.
Padre Privatus (kwa wasiojua upadre wa ukatoliki haufutiki hata ukioa) kwa ufupi kabisa mbali na sifa mnazozijua za kutoogopa kusema anachoaamini na ujuzi wa kuandika kwa mantiki ya juu (logic) alikuwa na sifa kubwa mbili za ziada: 1) Upendo - alipenda sana watu. Upendo wake haukuwa wa maneno tu bali matendo. Padre angekupa kitu alichonacho na akajiacha bila kitu. Siku moja wakati naenda Shule alinipa hela ya matumizi nikasema haitatosha kabisa kwa kila kitu. Japo hela haikuwepo na nilipokataa kutoka chumbani kwake alichukua net yake ya mbu iliyokuwa nzuri sana akanipa kama sehemu ya kupunguza makali ya budget yangu. 2) Jambo jingine alikuwa mnyenyekevu sana. Kama ungemwandikia jambo lisilompendeza aliamua kukaa kimya badala ya kuleta ugomvi. Lakini nakumbuka zaidi wakati anaanza kuwa maarufu kupitia makala zake, japo alikuwa msomi zaidi yangu aliyekuwa amesafiri sehemu mbalimbali nje ya nchi, hakusita kunifuata (form six leaver by then) kusoma articles zake na kurekebisha logic na kiswahili chake. Alifanya hivyo kwa unyenyekevu mkubwa!
Namshukuru sana sana kwa kuamua kufunga ndoa rasmi na mke wake baada ya kusubiri muda mrefu maamuzi ya Vatican. Namwombea mapumziko mema na Huruma ya Mungu kwa Roho yake. Fr. Nitakumiss sana kama ambavyo wengi sana waliokufahamu watakavyokumiss! RIP Kalugendo Fr. Privatus!
 
Pole kwa familia na taifa kwa ujumla kwa kumpoteza mtu jasiri aliyeweza kusimamia mambo yenye tija kwa taifa bila woga wala unafiki.
 
Mimi nimemkumbuka Fr Batsi Mapunda aisee
 
Nyumbu mbona unatoa povu? Mwenzio keshaanza kutoa funza 😂😂
à
Naye corona imemchukua 🤣🤣🤣
Unapo andika maneno ya dhihaka kama haya sijui unamaanisha nini.....
All in all sijapenda,
let us take it easy......pengine sisi ni aina ya watu tunao take vitu seriously.....R.I.P KARUGENDO
Nilikujua tangu nikiwa kijana mdogo Baba angu alikua mpenzi wa Rai nguvu ya hoja Enzi izo.....
 
MOD: Dhihaka ya NYANI NGABU kwenye msiba wa Padri Privatus Karugendo imetufadhaisha wengi. Kwa mujibu wa taratibu za jf anastahili BAN ili tuomboleze kwa utulivu.
 
Back
Top Bottom