Kwa kweli Jamaa amewafelisha sana.
- Kosa la Kwanza ni sakata la Benzema.
Imeabainika kuwa Benzema alitaka kubaki na timu baada ya Injury kocha akamkatalia, na ilip[ofika round of 16 Karim akawa tayari ameshari cover kocha akakataa kumrejesha kikosini. Na kuna fununu Kocha alicheza mchongo na Doctor ili Injury yake ionekanwe kubwa.
Unaanzaje kumfanyia Best Player Wako upuuzi kama huo? kwa kutegemea nini Kabisa? Ukweli utabaki kuwa Dischmap Alimrejesha Benzema Nationality Kwa shinikizo tu, ila moyoni Alikua na chuko nae.
- Game Plan yake ya Final ilikua ni ovyo kabisa na mechi alishindwa mapema kabla ya hata mchezo kufika hata dakika 30.
Unachezeshaje timu katika mechi ya more defensive tena kutoka kwa High Pressing team bila ya kuwa na midfield hata mmoja anaeweza kutembea kwa kasi na mpira ili aweze kuiunganisha timu baina ya midfield na Attack? Camavinga alitakiwa kuanza kwenye ile Mechi au kwa uchache kabisa yeye ndie alitakiwa awe Sub ya Mwanzo kuingia.
- Sub alizozifanya za first half hazikuleta matunda yoyote, zilidhihirisha kuwa zilikuwa ni sub za panic. Alivyowaingiza Camavinga na Coman ndipo timu ilipobadilika. Na hilo lilikuwa ndio tatizo lake na zile ndio sub alizotakiwa azifanye mwanzo.
Kama anagelizifanya zile Sub za Camvinga na Coman bila ya kuwatoa Giroud na Graizman na badala yake kuwabadilsha na Dembele na Rabiot, Argentina wangelizwa ndani ya dakika 90 bila tabu kabisa.
Wasipomtimua wajiandae na manyago mengine mbeleni.