Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 6,581
- 11,572
Kwani ulitakaje ?mnatia aibu kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ulitakaje ?mnatia aibu kwa kweli
Upuuzi kama huu upo Tanzania enzi za Maximo bifu na Kaseja ila wenzetu walishatoka huko zamani sanaKwa kweli Jamaa amewafelisha sana.
- Kosa la Kwanza ni sakata la Benzema.
Imeabainika kuwa Benzema alitaka kubaki na timu baada ya Injury kocha akamkatalia, na ilip[ofika round of 16 Karim akawa tayari ameshari cover kocha akakataa kumrejesha kikosini. Na kuna fununu Kocha alicheza mchongo na Doctor ili Injury yake ionekanwe kubwa.
Unaanzaje kumfanyia Best Player Wako upuuzi kama huo? kwa kutegemea nini Kabisa? Ukweli utabaki kuwa Dischmap Alimrejesha Benzema Nationality Kwa shinikizo tu, ila moyoni Alikua na chuko nae.
- Game Plan yake ya Final ilikua ni ovyo kabisa na mechi alishindwa mapema kabla ya hata mchezo kufika hata dakika 30.
Unachezeshaje timu katika mechi ya more defensive tena kutoka kwa High Pressing team bila ya kuwa na midfield hata mmoja anaeweza kutembea kwa kasi na mpira ili aweze kuiunganisha timu baina ya midfield na Attack? Camavinga alitakiwa kuanza kwenye ile Mechi au kwa uchache kabisa yeye ndie alitakiwa awe Sub ya Mwanzo kuingia.
- Sub alizozifanya za first half hazikuleta matunda yoyote, zilidhihirisha kuwa zilikuwa ni sub za panic. Alivyowaingiza Camavinga na Coman ndipo timu ilipobadilika. Na hilo lilikuwa ndio tatizo lake na zile ndio sub alizotakiwa azifanye mwanzo.
Kama anagelizifanya zile Sub za Camvinga na Coman bila ya kuwatoa Giroud na Graizman na badala yake kuwabadilsha na Dembele na Rabiot, Argentina wangelizwa ndani ya dakika 90 bila tabu kabisa.
Wasipomtimua wajiandae na manyago mengine mbeleni.
Pona ya France ni baada ya DI MARIA kutolewa, hizi unazoleta ni ngonjera tu.
Kwani si nilisikia vyovyote iwavyo baada ya mashindano kuisha wanamchukua mzee wa kupiga vichwa vya kifua ili awe kocha wao??Kwa kweli Jamaa amewafelisha sana.
- Kosa la Kwanza ni sakata la Benzema.
Imeabainika kuwa Benzema alitaka kubaki na timu baada ya Injury kocha akamkatalia, na ilip[ofika round of 16 Karim akawa tayari ameshari cover kocha akakataa kumrejesha kikosini. Na kuna fununu Kocha alicheza mchongo na Doctor ili Injury yake ionekanwe kubwa.
Unaanzaje kumfanyia Best Player Wako upuuzi kama huo? kwa kutegemea nini Kabisa? Ukweli utabaki kuwa Dischmap Alimrejesha Benzema Nationality Kwa shinikizo tu, ila moyoni Alikua na chuko nae.
- Game Plan yake ya Final ilikua ni ovyo kabisa na mechi alishindwa mapema kabla ya hata mchezo kufika hata dakika 30.
Unachezeshaje timu katika mechi ya more defensive tena kutoka kwa High Pressing team bila ya kuwa na midfield hata mmoja anaeweza kutembea kwa kasi na mpira ili aweze kuiunganisha timu baina ya midfield na Attack? Camavinga alitakiwa kuanza kwenye ile Mechi au kwa uchache kabisa yeye ndie alitakiwa awe Sub ya Mwanzo kuingia.
- Sub alizozifanya za first half hazikuleta matunda yoyote, zilidhihirisha kuwa zilikuwa ni sub za panic. Alivyowaingiza Camavinga na Coman ndipo timu ilipobadilika. Na hilo lilikuwa ndio tatizo lake na zile ndio sub alizotakiwa azifanye mwanzo.
Kama anagelizifanya zile Sub za Camvinga na Coman bila ya kuwatoa Giroud na Graizman na badala yake kuwabadilsha na Dembele na Rabiot, Argentina wangelizwa ndani ya dakika 90 bila tabu kabisa.
Wasipomtimua wajiandae na manyago mengine mbeleni.
Achana na hizo huenda, huenda, huenda. Baada ya matokeo eti ndio unapata muda wa kumkandia kocha kama vile unakaa na wachezaji kambini. Kocha huyo huyo kachukua kombe mwaka 2018. Na bado ameweza kufika fainali mwaka huu 2022. Wewe ndiye kiumbe wa kumfundisha soka? Wabongo bwana. Hizi ni siasa za mpira za mashabiki wa simba na yanga. Usitake walioendelea katika soka wabehave kama unavyofikiria. Ufaransa walifanya walivyostahili. Bahati mbaya walizidiwa kimbinu, thats all. Hizo nyingine ni mbwembwe na ramli chonganishi tu.Kwa kweli Jamaa amewafelisha sana.
- Kosa la Kwanza ni sakata la Benzema.
Imeabainika kuwa Benzema alitaka kubaki na timu baada ya Injury kocha akamkatalia, na ilip[ofika round of 16 Karim akawa tayari ameshari cover kocha akakataa kumrejesha kikosini. Na kuna fununu Kocha alicheza mchongo na Doctor ili Injury yake ionekanwe kubwa.
Unaanzaje kumfanyia Best Player Wako upuuzi kama huo? kwa kutegemea nini Kabisa? Ukweli utabaki kuwa Dischmap Alimrejesha Benzema Nationality Kwa shinikizo tu, ila moyoni Alikua na chuko nae.
- Game Plan yake ya Final ilikua ni ovyo kabisa na mechi alishindwa mapema kabla ya hata mchezo kufika hata dakika 30.
Unachezeshaje timu katika mechi ya more defensive tena kutoka kwa High Pressing team bila ya kuwa na midfield hata mmoja anaeweza kutembea kwa kasi na mpira ili aweze kuiunganisha timu baina ya midfield na Attack? Camavinga alitakiwa kuanza kwenye ile Mechi au kwa uchache kabisa yeye ndie alitakiwa awe Sub ya Mwanzo kuingia.
- Sub alizozifanya za first half hazikuleta matunda yoyote, zilidhihirisha kuwa zilikuwa ni sub za panic. Alivyowaingiza Camavinga na Coman ndipo timu ilipobadilika. Na hilo lilikuwa ndio tatizo lake na zile ndio sub alizotakiwa azifanye mwanzo.
Kama anagelizifanya zile Sub za Camvinga na Coman bila ya kuwatoa Giroud na Graizman na badala yake kuwabadilsha na Dembele na Rabiot, Argentina wangelizwa ndani ya dakika 90 bila tabu kabisa.
Wasipomtimua wajiandae na manyago mengine mbeleni.
Achana na hizo huenda, huenda, huenda. Baada ya matokeo eti ndio unapata muda wa kumkandia kocha kama vile unakaa na wachezaji kambini. Kocha huyo huyo kachukua kombe mwaka 2018. Na bado ameweza kufika fainali mwaka huu 2022. Wewe ndiye kiumbe wa kumfundisha soka? Wabongo bwana. Hizi ni siasa za mpira za mashabiki wa simba na yanga. Usitake walioendelea katika soka wabehave kama unavyofikiria. Ufaransa walifanya walivyostahili. Bahati mbaya walizidiwa kimbinu, thats all. Hizo nyingine ni mbwembwe na ramli chonganishi tu.
Akikosea wewe kiumbe wa gamboshi ndiye wa kumfundisha? Seriously?acha mawazo ya kipuuzi, Kwahiyo akiwa yeye ndio kacho hawezi kukosea?
Mleta uzi ni bichwa maji. Huyo kocha alishamalizana na Ufaransa kabla hata ya mashindano kuanza. Na Zidane ndiye kocha mpya. Acha kukurupuka!