France ni Lazima wamtimue Didier Deschamps

Messi... Messi..... Messi
 

Attachments

  • 996DA268-1F50-4525-8315-A5E1567B976B_1.jpg
    292.9 KB · Views: 3
Upuuzi kama huu upo Tanzania enzi za Maximo bifu na Kaseja ila wenzetu walishatoka huko zamani sana
 
Upo sahh kamacinga na coman walistahili kuingia mapema
 
Kwani si nilisikia vyovyote iwavyo baada ya mashindano kuisha wanamchukua mzee wa kupiga vichwa vya kifua ili awe kocha wao??
 
Achana na hizo huenda, huenda, huenda. Baada ya matokeo eti ndio unapata muda wa kumkandia kocha kama vile unakaa na wachezaji kambini. Kocha huyo huyo kachukua kombe mwaka 2018. Na bado ameweza kufika fainali mwaka huu 2022. Wewe ndiye kiumbe wa kumfundisha soka? Wabongo bwana. Hizi ni siasa za mpira za mashabiki wa simba na yanga. Usitake walioendelea katika soka wabehave kama unavyofikiria. Ufaransa walifanya walivyostahili. Bahati mbaya walizidiwa kimbinu, thats all. Hizo nyingine ni mbwembwe na ramli chonganishi tu.
 

acha mawazo ya kipuuzi, Kwahiyo akiwa yeye ndio kacho hawezi kukosea?
 
Mleta uzi ni bichwa maji. Huyo kocha alishamalizana na Ufaransa kabla hata ya mashindano kuanza. Na Zidane ndiye kocha mpya. Acha kukurupuka!
 
Mleta uzi ni bichwa maji. Huyo kocha alishamalizana na Ufaransa kabla hata ya mashindano kuanza. Na Zidane ndiye kocha mpya. Acha kukurupuka!

acha kukurupuka wewe, wapi zidane ametangazwa kuwa kocha mpya wa France?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…