Francis: Chama cha Chadema hakina msimamo, kimetekwa na wanaharakati

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mchambuzi wa Siasa na Diplomasia Francis Fran ceo anaeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wametekwa na wanaharakati hivyo wamekosa Msimamo;

Chama ambacho "kimetekwa na wanaharakati". Inadaiwa kuwa wanaharakati hawa wamejiingiza ndani ya chama na sasa wanatumia "mgongo wa Chadema kueneza ajenda zao nyingine".
Baada ya kuondoka kwa Mbowe, siasa za Chadema zinasemekana kubadilika na kuelekea kwenye "siasa za nguvu" au "nginja nginja". Hii imesababisha kuanza kwa matumizi ya kauli kama
"no reform no election Amesema Francis
 
Mchambuzi uchwara huyo. Hivi hajui kuwa hata siasa ni harakati. Huu moto wanaopeleka Chadema utawafanya wajinga waropoke sana.
 
Mchambuzi wa Siasa na Diplomasia Francis Fran ceo anaeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wametekwa na wanaharakati hivyo wamekosa Msimamo;
sahihi,
chadema kimekua kichaka cha vibaka wa siasa na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi :pulpTRAVOLTA:
 
Waache uchaguzi uwe huru na wa haki. Wamwachie Lissu. Haki Kwa haki kunadi sera kwa wananchi pasu kwa pasu. Asubuhi tu CCM wataweka mpira kwapani hata wakisomba watu kwa malori, maguta, boda na mikokoteni. Watu wana hasira. Watu wamechoka. Na hawana pa kusemea. CHADEMA angalau ndiyo outlet yao. Ndiyo maana wakiitisha mkutano tu watu maelfu kwa maelfu wanahudhuria. Kama CHADEMA kimetekwa na wanaharakati, CCM nacho kimetekwa na mafisadi, matajiri na familia 10 hivi zenye tamaa ya madaraka.
 
Sasa kwanini wanapoteza mda kuzungumzia chama ambacho kimetekwa na wahanarakati alafu inaonekana wanasiasa wanaogopa wanaharakati huo ndo ukweli
 
Mchambuzi wa Siasa na Diplomasia Francis Fran ceo anaeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wametekwa na wanaharakati hivyo wamekosa Msimamo;

Chama ambacho "kimetekwa na wanaharakati". Inadaiwa kuwa wanaharakati hawa wamejiingiza ndani ya chama na sasa wanatumia "mgongo wa Chadema kueneza ajenda zao nyingine".
Baada ya kuondoka kwa Mbowe, siasa za Chadema zinasemekana kubadilika na kuelekea kwenye "siasa za nguvu" au "nginja nginja". Hii imesababisha kuanza kwa matumizi ya kauli kama
"no reform no election Amesema Francis
Anafirwa.
 
Huwezi kabidhi Serikali halafu iwe na washauri waliokuwa wanamiliki Ze Utamu
 
..Na Ccm imeingiliwa na genge la watekaji na wauwaji. Wengi walioikosoa wameishia kutekwa, na kupotezwa ktk uso wa dunia.
 
Huwezi kabidhi Serikali halafu iwe na washauri waliokuwa wanamiliki Ze Utamu
Mmiliki wa ze Utamu alikua akiishi London na ni mtoto wa waziri mstaafu mmoja wa Lumumba una hiyo habari jinga lao?
 
Back
Top Bottom