Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mchambuzi uchwara huyo. Hivi hajui kuwa hata siasa ni harakati. Huu moto wanaopeleka Chadema utawafanya wajinga waropoke sana.Mchambuzi wa Siasa na Diplomasia Francis Fran ceo anaeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wametekwa na wanaharakati hivyo wamekosa Msimamo;
Wametekwa na mafisadi papa wanaojiita wanamtandao.Ccm waliomzuia Mpina kugombea urais wametekwa na nani
sahihi,Mchambuzi wa Siasa na Diplomasia Francis Fran ceo anaeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wametekwa na wanaharakati hivyo wamekosa Msimamo;
Anafirwa.Mchambuzi wa Siasa na Diplomasia Francis Fran ceo anaeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wametekwa na wanaharakati hivyo wamekosa Msimamo;
Chama ambacho "kimetekwa na wanaharakati". Inadaiwa kuwa wanaharakati hawa wamejiingiza ndani ya chama na sasa wanatumia "mgongo wa Chadema kueneza ajenda zao nyingine".
Baada ya kuondoka kwa Mbowe, siasa za Chadema zinasemekana kubadilika na kuelekea kwenye "siasa za nguvu" au "nginja nginja". Hii imesababisha kuanza kwa matumizi ya kauli kama "no reform no election Amesema Francis
Mmiliki wa ze Utamu alikua akiishi London na ni mtoto wa waziri mstaafu mmoja wa Lumumba una hiyo habari jinga lao?Huwezi kabidhi Serikali halafu iwe na washauri waliokuwa wanamiliki Ze Utamu