Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Msajili wa vyama vya siasa Francis Mutungi ametangaza kukutana na Jeshi la Polisi huko Dodoma kwa lengo la kupanga ajenda za kikao dhidi vyama vya siasa, ambacho anapanga kukiitisha.
Maswali ni haya, Hivi Katiba ya Nchi hii haijaandika chochote kuhusu mikutano na makongamano ya vyama vya siasa? Kwanini Mutungi anataka kutengeneza ajenda mpya ya kuwaambia Vyama vya siasa kwa kushirikiana na Polisi , ambao ni vinara wa kuvunja katiba ya nchi , Mamlaka hayo anatoa wapi na ana mpango gani?