Msajili wa vyama vya siasa Francis Mutungi ametangaza kukutana na Jeshi la Polisi huko Dodoma kwa lengo la kupanga ajenda za kikao dhidi vyama vya siasa, ambacho anapanga kukiitisha.
Maswali ni haya, Hivi Katiba ya Nchi hii haijaandika chochote kuhusu mikutano na makongamano ya vyama vya siasa? Kwanini Mutungi anataka kutengeneza ajenda mpya ya kuwaambia Vyama vya siasa kwa kushirikiana na Polisi , ambao ni vinara wa kuvunja katiba ya nchi , Mamlaka hayo anatoa wapi na ana mpango gani?
The worthless judge Tanzania had before and after independence. Eti anatafuta waziri neutral awe Mwenyekiti wa kikao Cha wadau wa siasa! Kwani watanzania wamekuwa wajinga wa fikra kiasi hiki! Ushauri, jaji kula mshahara wako usubiri kustaafu.
Kwa huyu kweli nimeamini majina huumba. Sijawahi kuona mtu mbabaishaji kama huyu msajili.
Mambo yapo wazi kwenye katiba, badala ya kuhakikisha katiba na sheria zinafuatwa, anahangaika na mambo yasiyo na maana na ambayo hayana nguvu za kisheria. Very hopeless!!
Ni hatua njema , apewe ushirikiano imekuwa aibu na fedheha kwa double standards kwa siasa za Tanzania. Lipo bomu baya kwa umoja na ustawi wa taifa letu, liteguliwe mapema kwa Katiba Bora.
Msajili wa vyama vya siasa Francis Mutungi ametangaza kukutana na Jeshi la Polisi huko Dodoma kwa lengo la kupanga ajenda za kikao dhidi vyama vya siasa, ambacho anapanga kukiitisha.
Maswali ni haya, Hivi Katiba ya Nchi hii haijaandika chochote kuhusu mikutano na makongamano ya vyama vya siasa? Kwanini Mutungi anataka kutengeneza ajenda mpya ya kuwaambia Vyama vya siasa kwa kushirikiana na Polisi , ambao ni vinara wa kuvunja katiba ya nchi , Mamlaka hayo anatoa wapi na ana mpango gani?
Newton’s first law states that if a body is at rest or moving at a constant speed in a straight line, it will remain at rest or keep moving in a straight line at constant speed unless it is acted upon by a force....in this case Mutungi is the force🏃♂️🏃♂️🏃♂️