Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
Yeah nimesoma thread yako yote,naona kweli una ukaribu na hiyo familia na ni vizuri kuwa ulifika kumfariji mama na alifarijika kutokana na hilo gazeti japo ni la kutoka nchi jirani ni jambo la kumshukuru Mungu.Franco Zetta,
Haya makala yaliopo hapa JF ni kutoka gazeti la The East African ambao
walichapa taazia yake.
Nilipokwenda Lushoto kutoa mkono wa taazia kwa mkewe mama yangu
yule alikuwa tayari keshalipata gazeti.
Alinambia alifurahi sana kuona angalau mumewe wako wanaomthamini.