Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
Yeah nimesoma thread yako yote,naona kweli una ukaribu na hiyo familia na ni vizuri kuwa ulifika kumfariji mama na alifarijika kutokana na hilo gazeti japo ni la kutoka nchi jirani ni jambo la kumshukuru Mungu.Franco Zetta,
Haya makala yaliopo hapa JF ni kutoka gazeti la The East African ambao
walichapa taazia yake.
Nilipokwenda Lushoto kutoa mkono wa taazia kwa mkewe mama yangu
yule alikuwa tayari keshalipata gazeti.
Alinambia alifurahi sana kuona angalau mumewe wako wanaomthamini.
Ndinani,Nilipoanza kusoma bandiko hili sikuliacha mpaka mwisho wake . Hongera sana Mohamed kwa kazi hii nzuri uliyoifanya kuhusu marehemu Frank na mchango wake kwa kutuburudisha wengi wetu wakati wa uhai wake. Tumezoea mara nyingi kusoma maandiko ya Mohamed ambayo huwa kidogo controversial lakini kama ataendelea kuandika makala kama jinsi alivyoandika makala haya na sio tu kutuelimisha juu ya michango ya watu mbali mbali katika kuiendeleza jamii yetu bali hata kutupa burudani kwa uandishi usiochosha kusoma. Hongera sana kwa kazi nzuri ,please keep it up.
Kuna editing kidogo ufanye spelling za 'career" na sio" carrier".
Ingia hapa huenda ukaipenda na hii ya Sal Davis:
JokaKuu,Mohamed Said,
..asante kwa hii article.
..umenikumbusha wimbo wa "kwenye kabati kuna nyoka" nilikuwa nausikiliza kwenye kipindi cha rtd zilipendwa.
..pia nautafuta wimbo wa "harusi" lakini imeshindikana kuupata popote. naupenda zaidi wa Frank kuliko alioimba Patrick.
..asante tena kwa article hii. sikujua kama ulipata kuishi Moshi?!!
J
JokaKuu,
Nilianza darasa la kwanza Lutheran Primary School, Moshi 1958.
Nikenda Majengo Middle School na hiyo shule yetu ilikuwa gate
lake likitazamana na nyumba ya mama yake Frank Humplink.
Nikimuona Frank Humplink akiendesha pikipiki yake nyuma kuna
guitar lake katika mitaa ya Moshi.
Ukifika kwake ni patilivu sana na mwenyewe alikuwa mkarimu sana.Jegestali,Lushoto miti kila kona,alikuwa mzee mkarimu na mzungumzaji mzuri kwa kweli, ila ndio hivyo tukubali kuwa tumepoteza.
JokaKuu,..miaka yote najua wewe mtu wa Dar thru and thru.
..sikujua kwamba na wewe una "ukaskazini".
..kumbe Dsm ulikuja tu, ukafundishwa kuvuka barabara, na kula chapati.
..i had an impression you went to santa josefu. Je, hapo ulianza darasa la ngapi?
JokaKuu,
Sikuja Dar es Salaam.
Nimezaliwa Dar es Salaam.
Moshi nilipelekwa kwenda kusoma.
Likizo zote niko nyumbani Dar es Salaam.
Anifundishe nani kuvuka barabara wakati
barabara ya mbele ya Kipata nilikozaliwa
ni Kitchwele Street (sasa Uhuru Street)?
Siku zile chapati si sana zaidi ni ugali wa
muhogo, papa, ng'onda ndiyo kitoweo na
wali au mseto.
Hivi ndivyo vilikuwa vyakula mashuhuri.
St. Joseph's nilianza form one 1967 nikitokea
Kinondoni Primary School.
JokaKuu,..LOL!!
..kuzaliwa mjini sawa, lakini umekulia huko mrima, "kaskazini."
..kwa kweli vijana wako mnaolumbana wakisikia habari hii hapatakalika humu ndani.
..nakutania tu.
Haika iwe Waahateila mghoshi nsaa sawa kabisa.Ukifika kwake ni patilivu sana na mwenyewe alikuwa mkarimu sana.
Mghoooshi eka du, npateia aho kwe mafyoksi hangu mdodo!Haika iwe Waahateila mghoshi nsaa sawa kabisa.
Hongeesha maa mndughu ti hang'we.Mghoooshi eka du, npateia aho kwe mafyoksi hangu mdodo!
Huyo weshu Mame Hampluliki namteia saana!Hongeesha maa mndughu ti hang'we.
Basi ni vyedi maya ni mvyeengwa mtana kana mbuli.Huyo weshu Mame Hampluliki namteia saana!
Hongeai zumbee!Basi ni vyedi maya ni mvyeengwa mtana kana mbuli.
Hongea nawe.Hongeai zumbee!