Frank Lampard afukuzwa kazi na Everton

Frank Lampard afukuzwa kazi na Everton

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
20230123_182840.jpg

Frank Lampard, aliyekuwa kocha wa Everton ametimuliwa baada ya kupata matokeo mabovu kwa kipindi kirefu katika ligi kuu ya Uingereza. Klabu ya Everton inategemea kutoa taarifa rasmi hivi punde.
 
Makocha wana 'pension' kweli?...😂😂
 
Dah,,,, jamaa aliendelea kung'ang'ania mawinga type ya Iwobi ndio wamemwangusha mawinga wake ,muda wote wako out of position kutokana na slowlness yao
 
Huyu jamaa anafosi tu lakini hamna kitu kabisa ni kama Zidane
 
Experience yake ndogo alafu anadeal na team kubwa, aoni mfano kama Steven Gerald alianza kuifundisha rangers na ikawa vizuri ndipo akaelekea ligi lenye ushindano pia Kuna vicent company Asa hv yupo bunley huko champion ship pia xavi alianza uarabuni.
Yote kwa yote lampald ni legend💯💯
 
Huyu jamaa anafosi tu lakini hamna kitu kabisa ni kama Zidane
Unapata wapi ujasiri wa kumlinganisha Lampard na Zidane!! Imagine Zidane amechukua Uefa Champions League kwa mara 3 mfululizo akiwa na Real Madrid!!

Hii ni CV ya kipekee kwa kocha wa aina yake.
 
Lampard aje bongo tu kuna simba na yanga uku atakula maisha sana
 
Back
Top Bottom