Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapata wapi ujasiri wa kumlinganisha Lampard na Zidane!! Imagine Zidane amechukua Uefa Champions League kwa mara 3 mfululizo akiwa na Real Madrid!!
Hii ni CV ya kipekee kwa kocha wa aina yake.
Ndo mana akiletewa offer anakataa[emoji23]anajijua na bora akatae atajichafulia clean sheet yakeYule Zidane alibebwa na wachezaji, mule hamna kocha kabisa. Unaona alicho kifanya mara ya pili alivyo rudi?
And its very rare to be both,a good player and a good coachKuwa mchezaji bora hakukufanyi kuwa kocha bora
Lampard alianza kufundisha Derby country na ilikuwa vzr tu ndipo Chelsea wakamchukuaExperience yake ndogo alafu anadeal na team kubwa, aoni mfano kama Steven Gerald alianza kuifundisha rangers na ikawa vizuri ndipo akaelekea ligi lenye ushindano pia Kuna vicent company Asa hv yupo bunley huko champion ship pia xavi alianza uarabuni.
Yote kwa yote lampald ni legend[emoji817][emoji817]