Anavyo vyeti, vipi kuhusu timu kwa ujumla?Huyu sio kocha
Wanayo ukifukuzwa kabla ya mkataba wako kuisha unakula pension yako hahahaMakocha wana 'pension' kweli?...😂😂
Unapata wapi ujasiri wa kumlinganisha Lampard na Zidane!! Imagine Zidane amechukua Uefa Champions League kwa mara 3 mfululizo akiwa na Real Madrid!!Huyu jamaa anafosi tu lakini hamna kitu kabisa ni kama Zidane