Frank Lampard afukuzwa kazi na Everton

Yule Zidane alibebwa na wachezaji, mule hamna kocha kabisa. Unaona alicho kifanya mara ya pili alivyo rudi?
Unapata wapi ujasiri wa kumlinganisha Lampard na Zidane!! Imagine Zidane amechukua Uefa Champions League kwa mara 3 mfululizo akiwa na Real Madrid!!

Hii ni CV ya kipekee kwa kocha wa aina yake.
 
Yule Zidane alibebwa na wachezaji, mule hamna kocha kabisa. Unaona alicho kifanya mara ya pili alivyo rudi?
Ndo mana akiletewa offer anakataa[emoji23]anajijua na bora akatae atajichafulia clean sheet yake
 
Ile timu ungempa mgunda boli lingetembea na matokeo mazuri wangepata
 
Lampard alianza kufundisha Derby country na ilikuwa vzr tu ndipo Chelsea wakamchukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…