TANZIA Frank Malecela, dereva wa RAS Dodoma afariki dunia

TANZIA Frank Malecela, dereva wa RAS Dodoma afariki dunia

Nsoji go Nvaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
999
Reaction score
1,948
Ni huzuni kubwa hapa dodoma mtu wa watu Mr Frank Malecela dreva wa RAS-Dom hatunae Tena amefariki taarifa zinasema Jana alikuwa ofsini baadae akawa anajisikia vibaya hv usiku hali ikawa mbaya akakimbizwa hospitali lkn ikawa bahati mbaya akaaga dunia.

Dereva.jpg
 
Haya matatizo ya kupumua,inaelekea hapa Dodoma hapajatulia
Ni huzuni kubwa hapa dodoma mtu wa watu Mr Frank Malecela dreva wa RAS-Dom hatunae Tena amefariki taarifa zinasema Jana alikuwa ofsini baadae akawa analalamika kifua kinambana hv usiku hali ikawa mbaya akakimbizwa hospitali lkn ikawa bahati mbaya akaaga dunia.
 
Back
Top Bottom