TANZIA Frank Malecela, dereva wa RAS Dodoma afariki dunia

TANZIA Frank Malecela, dereva wa RAS Dodoma afariki dunia

Cha mno nini tena ama ndiyo ile changamoto yetu ya upumuaji?? DOM yaonekana si sehemu salama aisee!!
 
Nipo Dodoma now mji wote umezizima tofauti na kipindi cha nyuma nikiwa hapa, cha ajabu akuna hata mmoja anaejali kuchukua taadhari za kujikinga.
 
Hivi nafasi za uteuzi huwa wanalipana fadhila au nini hasa haya majina kuchomoza sana ktk nafasi mbalimbali hasa serikalini??
RIP bro!
 
Back
Top Bottom