TANZIA Frank Malecela, dereva wa RAS Dodoma afariki dunia

TANZIA Frank Malecela, dereva wa RAS Dodoma afariki dunia

Ni huzuni kubwa hapa dodoma mtu wa watu Mr Frank Malecela dreva wa RAS-Dom hatunae Tena amefariki taarifa zinasema Jana alikuwa ofsini baadae akawa analalamika kifua kinambana hv usiku hali ikawa mbaya akakimbizwa hospitali lkn ikawa bahati mbaya akaaga dunia.

Jamaa alikuwa mfuasi mkubwa wa mitano tena.

Apumzike anapostahili
 
Back
Top Bottom