Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You
Joe Janja janja SanaJoe kakimbiria Dar
Sawa boss! Sasa niletee mtumishi wa serikali anayeenda kwao likizo ya zaidi ya wiki 4 mara 3-4 kwa mwaka.Likizo ni haki ya mfanyakazi yoyote yule
Muendelezo wa magari ya Toyota, Carina, Corolla, etcNi huzuni kubwa hapa dodoma mtu wa watu Mr Frank Malecela dreva wa RAS-Dom hatunae Tena amefariki taarifa zinasema Jana alikuwa ofsini baadae akawa anajisikia vibaya hv usiku hali ikawa mbaya akakimbizwa hospitali lkn ikawa bahati mbaya akaaga dunia.
Hatujasema amekimbia,ila itakuwa vyema apatikane ikulu dodoma.ikulu ya mkoani dar si imehamia makao ya nchi.haya Mambo ya kuendelea kuonekana mkoani tena ,si vyema Sana.
Inna lilahi wa inna ilahi rajiuunNi huzuni kubwa hapa dodoma mtu wa watu Mr Frank Malecela dreva wa RAS-Dom hatunae Tena amefariki taarifa zinasema Jana alikuwa ofsini baadae akawa anajisikia vibaya hv usiku hali ikawa mbaya akakimbizwa hospitali lkn ikawa bahati mbaya akaaga dunia.
Huyo ni kitengo,huwezi kuendesha hao viongozi ambao ni watu wa kitengo ukakosa kuwa mtu wa kitengo.... dereva tu tena wa DAS ila kama afisa fulani hivi wa UN! RIP.
Kaimbwa sana katika Bendi za Dansi Bongo.Ni huzuni kubwa hapa dodoma mtu wa watu Mr Frank Malecela dreva wa RAS-Dom hatunae Tena amefariki taarifa zinasema Jana alikuwa ofsini baadae akawa anajisikia vibaya hv usiku hali ikawa mbaya akakimbizwa hospitali lkn ikawa bahati mbaya akaaga dunia.
Umeelewa nilichoandika au unawashwa tu? Acha kujistukia
uko fasta kuelewa Mambo mkuu[emoji867][emoji106]Huyo ni kitengo,huwezi kuendesha hao viongozi ambao ni watu wa kitengo ukakosa kuwa mtu wa kitengo.
jaman katkat ya msiba,mmeanza maneno magumu tena[emoji20][emoji35][emoji51]Basi wewe utakuwa UNAKAZWA
AiseeeJafo
Akitoka huko kituo cha kwa na chataJoe kakimbiria Dar