Nsoji go Nvaa
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 999
- 1,948
Joe kakimbiria DarDuh Dodoma huko jichungeni
SureDuh Dodoma huko jichungeni
Halafu anahamasisha wenzie wapuuze barakora akitoka huko break ni CHATOJoe kakimbiria Dar
Ninavyomjua sasa hivi ataenda likizo!😂Joe kakimbiria Dar
Usikute ni COVID-19Ni huzuni kubwa hapa dodoma mtu wa watu Mr Frank Malecela dreva wa RAS-Dom hatunae Tena amefariki taarifa zinasema Jana alikuwa ofsini baadae akawa analalamika kifua kinambana hv usiku hali ikawa mbaya akakimbizwa hospitali lkn ikawa bahati mbaya akaaga dunia.
Tovuti -19Ajali ya gari dodoma au..?!
Ni huzuni kubwa hapa dodoma mtu wa watu Mr Frank Malecela dreva wa RAS-Dom hatunae Tena amefariki taarifa zinasema Jana alikuwa ofsini baadae akawa analalamika kifua kinambana hv usiku hali ikawa mbaya akakimbizwa hospitali lkn ikawa bahati mbaya akaaga dunia.