Ata mwaandishi wake mwanahabari hoiNi huzuni kubwa hapa dodoma mtu wa watu Mr Frank Malecela dreva wa RAS-Dom hatunae Tena amefariki taarifa zinasema Jana alikuwa ofsini baadae akawa anajisikia vibaya hv usiku hali ikawa mbaya akakimbizwa hospitali lkn ikawa bahati mbaya akaaga dunia.