Frank Maston picha zake zinanipa shida kuamini ninachokiona

Ngumu saaana kuamini kama huyu ni kidume
Aiseee Dunia tuliyonayo mtihani saaana
Wengine kuiga uzungu mwingi
Wengine malezi
Wengine tamaa plus ujinga
Mungu anusuru vizazi vyetu
 
'Jinsi ulivyo leo ni kutokana na jana yako"
wazazi wekezeni nguvu na akili kwenye malezi na makuzi ya mtoto.
Hizi tabia haziambukizwi kwa hewa au watu kugusana..... ni kutoka huko kwenye familia.

Bila shaka mzazi sasa una furaha mtoto kuvaa nguo za watu wa jinsia isiyo yake!

Kum 22:5 Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako.​


Jambo baya zaidi ni haya Madungu hayajui kukataa harufu ya mkojo wala mavi. Ni kukojoa tu
Na watakojolewa vizuri tu!
 
Mmmmmmmh
 
Urongo.
 
Watu mnapovukwa humu ndani, afu yeye muhusika wala hana habari na nyie, hamjistukiii?? Hamjishangai?? Hamuogopi??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleniiii sanaaaaa. Hizo sio shida zake yeye.
Pambaneni na hali zenu. Woiiiiih
 
Ndio kioo cha jamii hiki,so watoto zetu wanajifunza kupitia yeye,nimemchambua kutokana na kazi zake baadhi nilizo ziona
 
Watu mnapovukwa humu ndani, afu yeye muhusika wala hana habari na nyie, hamjistukiii?? Hamjishangai?? Hamuogopi??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleniiii sanaaaaa. Hizo sio shida zake yeye.
Pambaneni na hali zenu. Woiiiiih
Pambe tyuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…