PreGE2025 Frank Nyalusi: Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Iringa mjini , Frank Nyalusi amefunguka katika mahojiano na Shamba fm kupitia kipindi cha Amka na Shamba.

"Tumegundua wazi watu wote waliopewa kesi za uhaini walikuja kuwa Marais. I swear to God mimi ni mkristo Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii kwa sababu madhira anayopitia kwa ajili ya Watanzania Mungu lazima ambariki"- Frank Nyalusi
Your browser is not able to display this video.
 
AMINA
 
Hata system inajua,naona wameamua kwenda kumpika Zaid ili arudi kuhitimisha maana lile la risasi wameona bado anachelewa.
Bora nchii hii kuondolewa usultan/ufalme na tuendelee kujenga nchi
Hata CCM na polisi wenye akili wanalifahamu hilo. Hakuna mtu aishiye, mwenye upendo kwa Taifa hili, wa kumfananisha na Lisu.
 

Hapo Herode kwa kihoro alichinja hadi watoto.

Ngoja tuone.
 
Lisu amewekwa ajili ya majira haya .
Hata akipita mitaani unaona jinsi vijana ,wazee na akina mama wanavyofurahi kwa matumaini makubwa .

Hakuna haja ya kutumia nguvu kuwazuia wananchi kumchagua mtu wanayempenda .

Kusudi la Mungu halizuoliki
Kuna mwenye mabango nchi nzima ila hana furaha. Ana polisi jeshi na machawa ana nadiwa na media zote nchini ila. Hana amani
 
Ni swala la muda tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…