Frank Rugwana aomba mabadiliko ya katiba kumwezesha Rais Samia kugombea tena 2030

MACHAWA NA VUGUVUGU LA PLU YA MUHOOZI,


View: https://m.youtube.com/watch?v=xYe_4fMM63w
 
Mama hataki maswala ya kugombea tena 2030 ila nyinyi vishandu mnamng'ang'aniza avunje katiba
 

Wameenza .... Ila naona kama vile Samia anaifanyia timing serikali ya mpito ili aendelee mpaka katiba mpya itakapopatikana,
 
East Africa imepatwa kweli kweli. Wabantu wanapigwa vita sana.
 
Naunga mkono hoja

Naye ubunge hakuupata alikatwa kwenye kura za maoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…