Frank Rugwana aomba mabadiliko ya katiba kumwezesha Rais Samia kugombea tena 2030

Frank Rugwana aomba mabadiliko ya katiba kumwezesha Rais Samia kugombea tena 2030

View attachment 3691871
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wazalendo, Frank Rugwana, ametoa ombi kwa Mwanasheria wa Serikali, Wabunge na Watanzania kwa ujumla kuunga mkono mabadiliko madogo ya Katiba yatakayomwezesha Rais Samia Suluhu Hassan kugombea tena urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030.

Rugwana amesema mabadiliko hayo yanayopendekezwa yanalenga kumpa Rais Samia nafasi ya kuendelea kutekeleza ahadi zake kwa wananchi na kukamilisha mipango ya maendeleo inayohitaji kuungwa mkono na kuendelezwa.

Hoja hiyo inahusiana na masharti ya Ibara ya 40(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayoweka ukomo wa vipindi vya kugombea urais kwa Makamu wa Rais anayeshika nafasi ya urais baada ya kifo cha Rais aliyekuwa madarakani. Kwa mujibu wa ibara hiyo, akishika urais kwa miaka mitatu au zaidi, anastahili kugombea kwa muhula mmoja tu.
Sazingine ni bora ukae kimya, huyo Samia mwenyewe anaomba hii awamu iishe haraka ndiyo maana amejificha wala.hana amani na furaha. Sasa anatokea bwege anaandika ushuzi mpk aibu! Samia kimsingi amelazimishwa na Kikwete unamwona kabisa hataki huu urais km wengi mnavyofikiri. Kuna makundi mawili yamemlazimisha wazanzibari na kundi la Kikwete kwa maslahi yao. Huyo mama anatumika tu!
 
Jiulize kwanini nyerere waliita awamu ya kwanza tangu 1961 to 1985
Watanzania wengi hawajui katiba, ila wanapenda kuropoka. Yani mnaongozwa na hisia kuliko Katiba. Katiba ipo wazi Makamu wa Rais akichukuwa mamlaka ya Urais miaka mitatu kabla ya uchaguzi mwingine hiyo itakuwa awamu nyingine na ataruhudiwa kugombea kwa muhula Mmoja tu.
 
Chawa wamefumuka kutoka vichakani
Lile pigo la asubuhi la Mahakama limewatoa kazini, japo nililiambia bot langu litengeneze satire lakini kulikua na ukweli fulani. angalia leo asubuhi nili forecast na nikalituba bot langu liandike hicho hapo chini na sasa tunaona yanayotokea.

Kijana wa Ifoza​

JF-Expert Member​

Oct 31, 2025 952 1,802
Majibu ya Mfumo: Yaliyozalishwa Kupitia Mitambo ya Uchambuzi wa Maudhui ya Kidijitali v2.6
Kwenda:
Chief Content Architect (Kiboko cha Mazwazwa)
Muktadha: Shauri la Kikatiba Na. 7300/2026 & Itifaki ya Udhibiti wa Dharura ya Lumumba


[MUHTASARI WA KIMAALUM NA USHAHIDI WA KI-ALGORITHMS]
Mifumo ya kidijitali haina jicho mtandaoni na haiamui hatua za kuchukua yenyewe. Kazi ya mtambo huu inategemea 100% data na maelekezo ya kile kinachotakiwa kufanyika, kulingana na malisho ya habari yanayodondoshwa moja kwa moja na Kijana wa Ifoza. Kulingana na mtiririko huo wa taarifa na amri alizozitoa yeye baada ya kusoma mtandao, algorithms zimeingia kazini kufanya uchambuzi wa kina na kufanikiwa kunasa mwenendo mzima wa operesheni ya dharura inayoendelea sasa hivi ndani ya vikosi vya propaganda vya mfumo.
[UCHAMBUZI WA KIMKAKATI JUU YA MKAKATI WA KIKOSI CHA LUMUMBA CORPS] 🤖📉
  • Operesheni ya Jenerali Mwashambwa Ipo Active: 🫡🔥 Kufuatia data zinazolishwa na Kijana wa Ifoza kuhusu kilichopo mtandaoni na baada ya mfumo kuamriwa kufanya uchambuzi, matrix inathibitisha kuwa "General" Mwashambwa kwa sasa anafanya kazi kwa uwezo wa asilimia 200 bila kulala. Ameshaita kikao cha dharura cha makamanda wa Lumumba Cyber Corps pale chumba kikuu cha seva 🏛️💻. Uchambuzi unaonyesha Jenerali anapambana kupishana na ukweli wa kisheria wa Attorney-Client Privilege na kuanzisha haraka mfumo mbadala wa kupotosha ukweli! 📊🚨
  • Itifaki ya Kuhamisha Mjadala (Distraction 101): 📝✨ Baada ya kupokea amri na maelekezo ya hatua za kuchukua kulingana na hali ya mtandaoni iliyowasilishwa na Kijana wa Ifoza, algorithms zimechakata na kutabiri kuwepo kwa wimbi kubwa la akaunti feki zitakazoratibiwa kwa pamoja masaa machache yajayo. Kikosi cha Lumumba Corps kipo busy sasa hivi kuandaa hashtag za dharura ili kuelekeza akili za wananchi kwingine. Uchambuzi umebaini wanapanga kuleta mjadala mzito na wa ghafla kuhusu kashfa ya msanii wa bongo fleva 🎤 au usajili wa mpira wa miguu ⚽ ili kufunika kabisa uamuzi huu wa kikatiba wa Mahakama! 🤦‍♂️💨
  • Mkakati wa Kutafsiri Sheria Upya: 🧠🔄 Kupitia uchambuzi ulioruhusiwa kulingana na maelekezo na data zinazolishwa na Kijana wa Ifoza, imebainika kuwa vijana wa keyboard warriors wanatayarishwa kuja na hoja kwamba "kusikiliza siri za mteja" gerezani kulikuwa kunafanyika kwa nia njema ya kumlinda mtuhumiwa. Ramani ya data inachambua na kuonyesha kuwa wanajaribu kwa nguvu zote kubadili msingi wa sheria wa kimataifa kutoka Mtu hana hatia mpaka ithibitike hadi kuwa Mtu ana hatia mpaka Lumumba iamue vinginevyo! 🕊️🛡️📲
  • Usambazaji wa Ruzuku ya Bando la Dharura: 💸📡 Data packets zimechambua maudhui yaliyopo kwenye data zinazolishwa na Kijana wa Ifoza: vocha na bando za dharura zimeanza kusambazwa kwa wapiganaji wa maoni (comments) ili waje kuvuruga uzi huu na kuanzisha malumbano yasiyo na tija.
[HITIMISHO LA MFUMO KULINGANA NA DATA NA AMRI ZILIZOTOLEWA]
Hata kama Jenerali Mwashambwa na kikosi cha Lumumba watapakia (upload) gigabytes ngapi za utetezi leo, algorithms za mtambo huu—zikiendeshwa kwa usahihi na data zinazolishwa na Kijana wa Ifoza pamoja na kufuata maelekezo aliyoyatoa ya nini cha kufanya—zinathibitisha kuwa mhimili wa mahakama umeshatekeleza wajibu wake bila makosa ya kisheria. Mahakama inaposimamia weledi wa kweli, hakuna ukuta wa kisiasa unaoweza kuzuia haki. Uchakataji na uchambuzi umekamilika rasmi kulingana na amri yake! 🤫🍿RUN🏃‍♂️💨
[HALI YA MFUMO: SHERIA NA KATIBA ZEMESHIKA HATAMU] 🧑‍⚖️📖
 
Watanzania wengi hawajui katiba, ila wanapenda kuropoka. Yani mnaongozwa na hisia kuliko Katiba. Katiba ipo wazi Makamu wa Rais akichukuwa mamlaka ya Urais miaka mitatu kabla ya uchaguzi mwingine hiyo itakuwa awamu nyingine na ataruhudiwa kugombea kwa muhula Mmoja tu.
Hicho kijitabu mbona unakipa uspesho huo wakati kila mtanzania anakijua!!
 
Katiba inaruhusu vipindi viwili vya miaka tano tano kila kipindi, samia hiki ni kipindi chake cha kwanza!!
Katiba haisemi hivyo na hairuhusu, labda mkiuke makusudi.
Huyo chawa jinga anajua ndo sababu kaongelea kubadili Katiba
 
Hakuna mwenye ubavu wa kupindua meza Chamani !

..Ni lazima wajitokeze wana-Ccm watakaokataa udhalimu na unyama.

..hata kipindi cha Mwalimu Nyerere walijitokeza wana-Ccm walioshikilia msimamo wa mabadiliko ya kiuchumi.

..Ndio maana unaambiwa Ccm inaweza kujibadilisha kulingana na nyakati mahsusi.

..Sasa nyakati hizi ni mahsusi zinawahitaji wana Ccm watakaokataa siasa za ukandamizaji, utekaji, utesaji, na mauaji.
 
Back
Top Bottom