AirorokiVava
JF-Expert Member
- Aug 25, 2026
- 258
- 302
Sazingine ni bora ukae kimya, huyo Samia mwenyewe anaomba hii awamu iishe haraka ndiyo maana amejificha wala.hana amani na furaha. Sasa anatokea bwege anaandika ushuzi mpk aibu! Samia kimsingi amelazimishwa na Kikwete unamwona kabisa hataki huu urais km wengi mnavyofikiri. Kuna makundi mawili yamemlazimisha wazanzibari na kundi la Kikwete kwa maslahi yao. Huyo mama anatumika tu!View attachment 3691871
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wazalendo, Frank Rugwana, ametoa ombi kwa Mwanasheria wa Serikali, Wabunge na Watanzania kwa ujumla kuunga mkono mabadiliko madogo ya Katiba yatakayomwezesha Rais Samia Suluhu Hassan kugombea tena urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030.
Rugwana amesema mabadiliko hayo yanayopendekezwa yanalenga kumpa Rais Samia nafasi ya kuendelea kutekeleza ahadi zake kwa wananchi na kukamilisha mipango ya maendeleo inayohitaji kuungwa mkono na kuendelezwa.
Hoja hiyo inahusiana na masharti ya Ibara ya 40(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayoweka ukomo wa vipindi vya kugombea urais kwa Makamu wa Rais anayeshika nafasi ya urais baada ya kifo cha Rais aliyekuwa madarakani. Kwa mujibu wa ibara hiyo, akishika urais kwa miaka mitatu au zaidi, anastahili kugombea kwa muhula mmoja tu.
Katiba inaruhusu vipindi viwili vya miaka tano tano kila kipindi, samia hiki ni kipindi chake cha kwanza!!Kwa hivyo mtabadilisha Katiba ili tu Samiah agombee kweli mnahuzunisha.
Watanzania wengi hawajui katiba, ila wanapenda kuropoka. Yani mnaongozwa na hisia kuliko Katiba. Katiba ipo wazi Makamu wa Rais akichukuwa mamlaka ya Urais miaka mitatu kabla ya uchaguzi mwingine hiyo itakuwa awamu nyingine na ataruhudiwa kugombea kwa muhula Mmoja tu.Jiulize kwanini nyerere waliita awamu ya kwanza tangu 1961 to 1985
Lile pigo la asubuhi la Mahakama limewatoa kazini, japo nililiambia bot langu litengeneze satire lakini kulikua na ukweli fulani. angalia leo asubuhi nili forecast na nikalituba bot langu liandike hicho hapo chini na sasa tunaona yanayotokea.Chawa wamefumuka kutoka vichakani
Wewe kwenda zako huko msiwapangie watanzania viongozi wanaowatakaMzalendo Frank yuko sahihi. Kwa sasa ni hitaji la wananchi wote mama kuongezewa muda.
Hicho kijitabu mbona unakipa uspesho huo wakati kila mtanzania anakijua!!Watanzania wengi hawajui katiba, ila wanapenda kuropoka. Yani mnaongozwa na hisia kuliko Katiba. Katiba ipo wazi Makamu wa Rais akichukuwa mamlaka ya Urais miaka mitatu kabla ya uchaguzi mwingine hiyo itakuwa awamu nyingine na ataruhudiwa kugombea kwa muhula Mmoja tu.
Kama unasoma huwezi kuongea jambo kama hilo. Ndio maana huyo jamaa kaomba katiba ibadilishwe ili Samiah agombee Tena.Nasomaga
Kama Katiba ni kijitabu mbona Lissu anashtakiwa kwa ugaidi?. Asingeshtakiwa. Kumbuka hata huyo Samiah akapata urais kupitia hicho kitabu.Hicho kijitabu mbona unakipa uspesho huo wakati kila mtanzania anakijua!!
andikia uzi mahususi jukwaani na itapendeza zaidi gentleman 🐒Kwa Nchimbi umeshaghairi tena Gentleman ?!! 😳
Kasome Tena hiyo Katiba. Shida mnaropoka bila kusoma kwanza hiyo katiba inayompa mamlaka huyo Rais. Mwenzako kashauri Katiba ibadilishwe maana anajua Samiah huu ni muhula wake wa mwisho.Katiba inaruhusu vipindi viwili vya miaka tano tano kila kipindi, samia hiki ni kipindi chake cha kwanza!!
Hao ni Kasuku kazi nikuiga nini wameambiwa waseme kiongoziKasome Tena hiyo Katiba. Shida mnaropoka bila kusoma kwanza hiyo katiba inayompa mamlaka huyo Rais. Mwenzako kashauri Katiba ibadilishwe maana anajua Samiah huu ni muhula wake wa mwisho.
Duh 🙄 !Hicho kijitabu mbona unakipa uspesho huo wakati kila mtanzania anakijua!!
Mtanzania mwenzetu huyoDuh 🙄 !
Hao ni Watanzania wenzetu ambao wamamua kujizima dataUchawa mzigo!
Hakuna mwenye ubavu wa kupindua meza Chamani !..Ccm mnatakiwa kupindua meza.
..Mama amechafuka hakubaliki.
..angalieni msije kuzama naye.
Katiba haisemi hivyo na hairuhusu, labda mkiuke makusudi.Katiba inaruhusu vipindi viwili vya miaka tano tano kila kipindi, samia hiki ni kipindi chake cha kwanza!!
Hakuna mwenye ubavu wa kupindua meza Chamani !