Frank Rugwana aomba mabadiliko ya katiba kumwezesha Rais Samia kugombea tena 2030

Naunga mkono hoja
 
Hivi kuna watu wana amini Bi Eda atafika 2030!!!
 
Si mpaka afike hiyo 2030!
 
Asimsingi
Asimsingizie Samia, aseme tu kuwa wanaona akiondoka watakosa ulaji. Kwani hizo ahadi anazitekeleza kwa hela yake mfukoni, si ni kodi za wananchi.
 
Yaani nchi ilivyooza kila Idara ya serikali rushwa kila sehemu bado kuna watu wanajitoa ufahamu tuu? Labda ndo wanufaika wenyewe yaani Hadi 2030 huyu MTU auwe tena watu aendelee na udhaifu huu?
 

Nyerere - Taifa Oga Haikuwa Nia Yangu. Lazima Raia Wakatae Kuburuzwa na Wasikubali Watawala Wanaopuuza Katiba, Sheria Na Wasiotabirika


View: https://m.youtube.com/watch?v=S3kX0JOD_As
 
Kuna siku yaja, hawa watu watakosa mahali pa kuzificha nyuso zao kwa aibu!
 
Ujinga, Umasikini na Maradhi
Maadui hawa ni maadui wa kweli kweli sio maadui wa Zihaka.

JK Nyerere
 
Mmeanza kusukuma kete polepole
 
Nje ya Mada

Binafsi kufikia sasa naona mafanikio ya Serikali yasasa chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan yanasiri kubwa sana ya MWAMBA Thabiti Kombo
Uyu Kombo ni najiuliza alikuwa wapi kwanini Serikali zengine hawamkutumia ipasavyo

Leo Wazungu wananalejea na mipesa mkononi
Hata mwaka haujaisha kutimiza maazimio yao!!!!!!!

Wkt Lissu bado yupo Lupango ❗

Thabit Kombo yumkin ni moja ya nguzo muhimu sana kwenye Serikali yasasa ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

Kiasi wanatokea kina Frank Rugwana kudai apewe muda zaidi kipenzi chetu Rais Dkt Samia Suluhu Hassan πŸ™πŸ™

Kipindi cha Rip JPM alipaswa kuwa na Waziri wa aina ya Thabit Kombo.
Jamaa anapiga kazi sana

Binafsi nampa ongera kubwa sana kwake,

Kama ikitokea Serikali mpya 2030-2035 uyo mwamba wamtumie hasiachwe kabisa πŸ™

Kwafaida za kitaifa Thabit Kombo tulipaswa kumtumia miaka kumi nyuma tungekuwa mbele ya Muda zaidi !!
Na vile Sekta ya utalii inakuwa kwa kasi zaid
uyu Mwamba ni tegemeo la kitaifa kwasasa Mungu ampe umri na Afya njema πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…