Frank Rugwana aomba mabadiliko ya katiba kumwezesha Rais Samia kugombea tena 2030

Sasa mmeamua mama mpaka lini? Mkishasema mlitangazie taifa kupitia TBC
 
Kuna watu wanaumuhimu sana lkn nikama Watanzania hatujawagundua
Basi kwasasa kwangu ni THABIT KOMBO
Kwenye michezo ni sawa kusema MOYO wa YANGA ni MAX na ABUYA
 
Sasa mmeamua mama mpaka lini? Mkishasema mlitangazie taifa kupitia TBC

RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN hakuna wa kumzuiya kubadilisha chochote akipenda kufanya ivyo!!

Lkn tunajua Uwelekeo wake yeye ni kuheshimu Katiba yasasa✍️
 
Siamini kwamba dhamira yake Rais wetu ni kubadilisha Katiba kwa lengo kuongeza muda wake siamini hicho kitu✍️
 
Hao ndo watanzania ukiwaacha wabaki kama walivyo wanakupenda
 
KQMPENI ZA AI [AKILI MNEMBA ] NA SAMIA PAMOJA NA MACHAWA WAKE

Profesa Hito akielezea jinsi watawala wanavyotumia AI kupumbaza akili za watawaliwa. Profesa wa digital media Prof. Hito anaelezea kwa kina :

Hito Steyerl: Art, Automation and Authoritarianism | Doomscroll


View: https://m.youtube.com/watch?v=hLrXie8DUnI
 
Akina Frank wamekuwa chawa siku za Leo!
 
Kauli kama hizi ni vigumu sana kumuelewa!!

Je anamaanisha hivyo !!?
Au anamuingiza kwenye mtego mwingine kama ule alioingia mwaka Jana akagombea halafu then "mauaji" yaliyomfanya asitembelee wananchi na kutatua kero kama mwanzoni kifupi "anajificha"!!?

Kazi na utu,tunasonga mbele
 
Kinyeo chake kina mwasha si bure wazalendo gani shoga huyu
 
Kwa umri wake na mwenendo sishauri...

Yale ya Paul Biya
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wake wanaiheshimu sana Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Nchi ngumu sana hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…