Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Wiston Mogha aliyekuwa mwanachama wa ACT Wazalendo KULIA, AKIWA NA Frank Ruhasha kutoka chama cha demokrasia na maendeleo chadema.
Dogo. Inawezekana siasa za Kigoma huzijui vizuri, hasa za upinzani. Ungekuwa unazijua vizuri, ungelijua kuwa 2010 - 2015 NCCR - Mageuzi ilikuwa na wabunge wanne Kigoma ambao ni Machali, Mkosamali, Kafulila na mwanamama Buyogera. Chadema haijawahi kuwa na wabunge zaidi ya wawili kwa wakati mmoja.Hatuamini vijana kutoka kigoma most of them cheapest na wanathamin matumbo yao kuliko kitu chochote mda wowote wanabadilika badilika
Kihistoria tu vijana wajue NCCR haijawahi kuwa na mashiko kigoma, sasa leo hii itaweza
Pili tangu lini kinyago kikamtisha mtengenezaji, hao vijana wa ACT na CHADEMA, bwana zitto ndio alikuwa kama role model wao leo wameungana kumuattack hawataweza maana zitto anawajua A to Z
Ngoja uone wanavyopotea
Ni mbaya sana kujiongopea mwenyewe. Kila mtu humu JF anajua wewe ni Nyumbu wa Ufipa. Sasa kusema umehama CCM kwenda Chadema ni ujuha dogo!Mimi Jana nafamilia yangu ya watu 14 tumetangaza kuhama CCM kwenda Chadema. Tumechoshwa na chama kinachoendeleza ukandamizaji wa demokrasia hapa nchini.kutowajali wafanya biashara na mauaji ya wananchi kiholelaholela.
Ulivyo huna adabu unaniita dogo. Mkishaanza kulala na vibabu mnajiona mmekua sana.jiheshimu binti mimi nnau umri sawa na babaako.Ni mbaya sana kujiongopea mwenyewe. Kila mtu humu JF anajua wewe ni Nyumbu wa Ufipa. Sasa kusema umehama CCM kwenda Chadema ni ujuha dogo!
hakika mkuu umenena hawa vijana wa doticom hawajui kituDogo. Inawezekana sasa za Kigoma huzijui vizuri, has a za upinzani. Ungekiwa unazijua vizuri, ungelijua kuwa 2010 - 2015 NCCR - Mageuzi ilikuwa na wabunge wanne Kigoma ambao ni Machali, Mkosamali, Kafulila na mwanamama Buyogera. Chadema haijawahi kuwa na wabunge zaidi ya wawili kwa wakati mmoja.
Unajua nina umri gani dogo? Anyway, ujumbe wangu umekufikia.Ulivyo huna adabu unaniita dogo. Mkishaanza kulala na vibabu mnajiona mmekua sana.jiheshimu binti mimi nnau umri sawa na babaako.
acha blah blah kijana. hivi unawajua hawa?Hatuamini vijana kutoka kigoma most of them cheapest na wanathamin matumbo yao kuliko kitu chochote mda wowote wanabadilika badilika.
Kihistoria tu vijana wajue NCCR haijawahi kuwa na mashiko kigoma, sasa leo hii itaweza.
Pili tangu lini kinyago kikamtisha mtengenezaji, hao vijana wa ACT na CHADEMA, bwana zitto ndio alikuwa kama role model wao leo wameungana kumuattack hawataweza maana zitto anawajua A to Z
Ngoja uone wanavyopotea.
Umezaliwa leo wewe,unamjua Daniel Nsanzugwanko wewe?Sam Ruhuza?Kihistoria tu vijana wajue NCCR haijawahi kuwa na mashiko kigoma, sasa leo hii itaweza.
Ila makada wa chadema wako "volatile" sana! Mbowe ameshindwa "kuwapika" kiitikadi na matokeo yake wanabadilisha vyama hovyo kwa kusosa msimamo.Binafsi sijali wala nini.wote wachumia tumbo kijani na gwanda.nipambane na hali yangu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua nina umri gani dogo? Anyway, ujumbe wangu umekufikia.