Kesaboso
JF-Expert Member
- Apr 16, 2019
- 426
- 358
Hatuamini vijana kutoka kigoma most of them cheapest na wanathamin matumbo yao kuliko kitu chochote mda wowote wanabadilika badilika.
Kihistoria tu vijana wajue NCCR haijawahi kuwa na mashiko kigoma, sasa leo hii itaweza.
Pili tangu lini kinyago kikamtisha mtengenezaji, hao vijana wa ACT na CHADEMA, bwana zitto ndio alikuwa kama role model wao leo wameungana kumuattack hawataweza maana zitto anawajua A to Z
Ngoja uone wanavyopotea.
Punguzeni hasira, hayo ni maauzi yao, mbona wakitoka kungine na kuingia Chadema na Act mnashangilia? Kubalini yaishe, huo ndio mzunguko wa siasa.