Frank Ruhasha, ametangaza rasmi kujiondoa CHADEMA na kujiunga NCCR Mageuzi

Frank Ruhasha, ametangaza rasmi kujiondoa CHADEMA na kujiunga NCCR Mageuzi

Wewe jamaa inaonekana unamkubali sana dogo Abdul nondo

All in all Chadema na NCCR ni vyama vya kidikteta pamoja na mama yao CCM
 
Hata jina lake tunalisikia kwa mara ya kwanza. Si angeenda tu kimya kimya? Sidhani kama jina lake lina impact yoyote significant, iwe anakoenda au anakotoka.
 
Hawa ndiyo wale wanaokimbia familia mambo yakiwa magumu, ndiyo wale hujiua wakikwama! Hawajui kupambana wanapenda mtelezo shubamit!!
Waliipenda chadema pindi wanapata umaarufu kirahisi kwakujiita makamanda sasa wakati wa kuonesha ukamanda kwakupambana wanaamua kujioza...studidi
 
Uyu jamaa nampata misimamo yake Yuko vizur jina la utan tunamwita kaza but aliwahi kua mwalim wangu wa hesabu
WhatsApp%20Image%202020-04-03%20at%203.36.25%20PM_0.jpeg

​

Frank Ruhasha kutoka Chadema alisema amekuwa katika chama hicho kwa zaidi ya miaka 13 na amewahi kushika nafasi mbalimbali za uongozi katika mkoa wa Kigoma ikiwemo ya katibu wa chama hicho wilaya ya Kigoma,mjumbe baraza kuu taifa na mjumbe mkutano mkuu wa chama taifa.

Amesema ameamua kukikimbia chama chake cha mwanzo kutokana na kutokuwa na matarajio ya kushika dola kutokana na aina ya siasa wanazo zifanya kwa sasa.

Aidha Ruhasha ameongeza kuwa kwa sasa kinahitajika chama chenye siasa mbadala ambacho kitatumia upole kusongesha mipango yao na si ukali kwani aina ya siasa kwa kipindi hiki imebadilika hivyo inapaswa pia vyama vya upinzani vitoe mwelekeo tofauti utakao sababisha matokeo mazuri.

​


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigoma siasa mnaijua na ni wajasiri tatizo tamaa na usaliti ona kaburu, njoo zito mifano midogo tu hiyo mnaendekeza njaa
Hujajibu swali langu Mkuu! Hiyo mikoa niliyokutajia wameunga sana juhudi vipi wanatokea kigoma? Na vipi hawana njaa?
Mkuu hili swala sio la mkoa flani kwasababu kuna watu waliaminika sana lakini Leo hii waliunga juhudi mfano Waitara na wengine wengi so punguza chuki Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vp madiwani wa chadema



USSR
Hatuamini vijana kutoka kigoma most of them cheapest na wanathamin matumbo yao kuliko kitu chochote mda wowote wanabadilika badilika.

Kihistoria tu vijana wajue NCCR haijawahi kuwa na mashiko kigoma, sasa leo hii itaweza.

Pili tangu lini kinyago kikamtisha mtengenezaji, hao vijana wa ACT na CHADEMA, bwana zitto ndio alikuwa kama role model wao leo wameungana kumuattack hawataweza maana zitto anawajua A to Z

Ngoja uone wanavyopotea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkutano wa raisi na mbatia ndio matokeo yake haya! waliokuwa hawamjui mbatia ndio huyu tulikuwa tukiwaambia! hana maana huyu mtu kwani ni mtu wa maslahi binafsi!
 
Aliondoka Slaa,ameondoka Lowassa mtu aliyepewa kura mil 6 na watanzania na bado chama kinadunda tu sembuse huyo ambae hata kura za Mwenyekiti wa mtaa hajawapi kupigiwa.
 
Ila makada wa chadema wako "volatile" sana! Mbowe ameshindwa "kuwapika" kiitikadi na matokeo yake wanabadilisha vyama hovyo kwa kusosa msimamo.
Ungekuwa na akili ungejua mengi yanayondelea, tatizo huna akili kaa kama ulivyo!
 
Mkutano wa raisi na mbatia ndio matokeo yake haya! waliokuwa hawamjui mbatia ndio huyu tulikuwa tukiwaambia! hana maana huyu mtu kwani ni mtu wa maslahi binafsi!
Mkutano huo umeleta ile kitu inaitwa BIG RESULTS NOW.
 
Mkutano wa raisi na mbatia ndio matokeo yake haya! waliokuwa hawamjui mbatia ndio huyu tulikuwa tukiwaambia! hana maana huyu mtu kwani ni mtu wa maslahi binafsi!
Ya mbatia itabuma nayo kama ilivobuma ya kuwatumia wasiojulikana, polisi,DPP, msajili,wakurugenzi,manunuzi, teuzi,nk.Mbinu pekee rahisi na salama ya kuuwa upinzani ni kutatua shida za watz ambazo ni ajira, njaa,usalama, kilimo,maslai bora kwa wafanyakazi,kodi rafiki,diplomasia.Hakuna mtz yeyeto amekuwa masikini sababu ya kukosekana kwa ndege,sgr,Dodoma, chato,au sababu ya uwepo wa Mbowe.Ccm bado awajagusa hit point ya Shida za watz wanarukia rukia visivo na tija.
 
Hivi mbowe anawatisha, kiasi hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanamuoga kuliko corona.Serikali ni kitu kikubwa haikutakiwa kudili na vitu vidogo vidogo mfano kutwa kucha ni kukimbizana na upinzani ingeshughulika na mambo makubwa vidogo vidogo hivi wangeachiwa kina bashiru na polepole ndio saizi yao hii ni aibu aisee.Hapo ndo umuhimu wa safari za nje ili kupata exposure.
 
WhatsApp%20Image%202020-04-03%20at%203.36.25%20PM_0.jpeg

​

Frank Ruhasha kutoka Chadema alisema amekuwa katika chama hicho kwa zaidi ya miaka 13 na amewahi kushika nafasi mbalimbali za uongozi katika mkoa wa Kigoma ikiwemo ya katibu wa chama hicho wilaya ya Kigoma,mjumbe baraza kuu taifa na mjumbe mkutano mkuu wa chama taifa.

Amesema ameamua kukikimbia chama chake cha mwanzo kutokana na kutokuwa na matarajio ya kushika dola kutokana na aina ya siasa wanazo zifanya kwa sasa.

Aidha Ruhasha ameongeza kuwa kwa sasa kinahitajika chama chenye siasa mbadala ambacho kitatumia upole kusongesha mipango yao na si ukali kwani aina ya siasa kwa kipindi hiki imebadilika hivyo inapaswa pia vyama vya upinzani vitoe mwelekeo tofauti utakao sababisha matokeo mazuri.

​
Nendeni zenu vijana Maisha ni popote Msambaa mmoja havunji Soko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguzeni hasira, hayo ni maauzi yao, mbona wakitoka kungine na kuingia Chadema na Act mnashangilia? Kubalini yaishe, huo ndio mzunguko wa siasa.
Ttzo paymaster ni the same person wa Siasa za kitoto kishamba a failure man
 
Back
Top Bottom