Hatuamini vijana kutoka kigoma most of them cheapest na wanathamin matumbo yao kuliko kitu chochote mda wowote wanabadilika badilika.
Kihistoria tu vijana wajue NCCR haijawahi kuwa na mashiko kigoma, sasa leo hii itaweza.
Pili tangu lini kinyago kikamtisha mtengenezaji, hao vijana wa ACT na CHADEMA, bwana zitto ndio alikuwa kama role model wao leo wameungana kumuattack hawataweza maana zitto anawajua A to Z
Ngoja uone wanavyopotea.
Ahahahahaha! Sikutegemea jibu tofauti na hili kutoka Nyumbu wa Ufipa kama wewe.Sina muda mchafu wa kubishana na mabinti mliokosa maadili.huo ujumbe mpelekee mamako
Vipi wote waliotoka Chadema kuhamia sisiemu kuunga juhudi wanatokea kigoma? Watu wa Kilimanjaro, Arusha, Dar na Mara waliounga juhudi wanatokea kigoma?Hatuamini vijana kutoka kigoma most of them cheapest na wanathamin matumbo yao kuliko kitu chochote mda wowote wanabadilika badilika.
Kihistoria tu vijana wajue NCCR haijawahi kuwa na mashiko kigoma, sasa leo hii itaweza.
Pili tangu lini kinyago kikamtisha mtengenezaji, hao vijana wa ACT na CHADEMA, bwana zitto ndio alikuwa kama role model wao leo wameungana kumuattack hawataweza maana zitto anawajua A to Z
Ngoja uone wanavyopotea.
Amejawa na chuki dhidi wa watu wa kigoma ila aelewe kigoma ni moja ya mikoa ambayo siasa zake hazitabiliki Hata kidogo na Chadema hilo wanalijuaDogo. Inawezekana sasa za Kigoma huzijui vizuri, has a za upinzani. Ungekiwa unazijua vizuri, ungelijua kuwa 2010 - 2015 NCCR - Mageuzi ilikuwa na wabunge wanne Kigoma ambao ni Machali, Mkosamali, Kafulila na mwanamama Buyogera. Chadema haijawahi kuwa na wabunge zaidi ya wawili kwa wakati mmoja.
Hajielewiacha blah blah kijana. hivi unawajua hawa?
1:Moses Machali
2;David kafulila
3;Felix Mkosamali
niambie walipata ubunge kigoma kwa chama gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawez kuwajua kwakuwa siasa za Tanzania amezijua mwaka juziUmezaliwa leo wewe,unamjua Daniel Nsanzugwanko wewe?Sam Ruhuza?
Watu wa Chadema wana chuki na kila mtu au kila kitu kisicho chao. Ni wabinafsi na wana roho mbaya sana. Halafu wanasema eti wataiongoza Tanzania. Hakuna Mtanzania mjinga kiasi hicho.Amejawa na chuki dhidi wa watu wa kigoma ila aelewe kigoma ni moja ya mikoa ambayo siasa zake hazitabiliki Hata kidogo na Chadema hilo wanalijua
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea na Sweetie?Ulivyo huna adabu unaniita dogo. Mkishaanza kulala na vibabu mnajiona mmekua sana.jiheshimu binti mimi nnau umri sawa na babaako.
Eeh sweetie anavyolala na yale mazee ya CCM yaliyovimbiwa rushwa na Kodi za watanzania anajua na huku JF ataokota.hivyohivyo
Nadhani ni kwetu walipa kodi masikiniPigo liko wapi sasa??
Dah kweli hili pigoNadhani ni kwetu walipa kodi masikini
Frank Ruhasha kutoka Chadema alisema amekuwa katika chama hicho kwa zaidi ya miaka 13 na amewahi kushika nafasi mbalimbali za uongozi katika mkoa wa Kigoma ikiwemo ya katibu wa chama hicho wilaya ya Kigoma,mjumbe baraza kuu taifa na mjumbe mkutano mkuu wa chama taifa.
Amesema ameamua kukikimbia chama chake cha mwanzo kutokana na kutokuwa na matarajio ya kushika dola kutokana na aina ya siasa wanazo zifanya kwa sasa.
Aidha Ruhasha ameongeza kuwa kwa sasa kinahitajika chama chenye siasa mbadala ambacho kitatumia upole kusongesha mipango yao na si ukali kwani aina ya siasa kwa kipindi hiki imebadilika hivyo inapaswa pia vyama vya upinzani vitoe mwelekeo tofauti utakao sababisha matokeo mazuri.
Jana ndo baba watoto wako!? Karibu SACOSMimi Jana nafamilia yangu ya watu 14 tumetangaza kuhama CCM kwenda Chadema. Tumechoshwa na chama kinachoendeleza ukandamizaji wa demokrasia hapa nchini.kutowajali wafanya biashara na mauaji ya wananchi kiholelaholela.
Kigoma siasa mnaijua na ni wajasiri tatizo tamaa na usaliti ona kaburu, njoo zito mifano midogo tu hiyo mnaendekeza njaaVipi wote waliotoka Chadema kuhamia sisiemu kuunga juhudi wanatokea kigoma? Watu wa Kilimanjaro, Arusha, Dar na Mara waliounga juhudi wanatokea kigoma?
Hoja yako ni nzuri lakini imeonyeaha chuki dhidi ya vijana wa kigoma, labda uchungu wa wa huyo jamaa kuikimbia Chadema umekuzidi nguvu Mkuu!
Sent using Jamii Forums mobile app