Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,472
Lakini uwezijua labda pumba ndio nyingi kuliko mchele?!!!!Ngoja pumba zote zijitenge na mchele.
Na wewe jamaa inaonekana unamkubali sana dogo Taron Egerton.Wewe jamaa inaonekana unamkubali sana dogo Abdul nondo...
Frank Ruhasha kutoka Chadema alisema amekuwa katika chama hicho kwa zaidi ya miaka 13 na amewahi kushika nafasi mbalimbali za uongozi katika mkoa wa Kigoma ikiwemo ya katibu wa chama hicho wilaya ya Kigoma,mjumbe baraza kuu taifa na mjumbe mkutano mkuu wa chama taifa.
Amesema ameamua kukikimbia chama chake cha mwanzo kutokana na kutokuwa na matarajio ya kushika dola kutokana na aina ya siasa wanazo zifanya kwa sasa.
Aidha Ruhasha ameongeza kuwa kwa sasa kinahitajika chama chenye siasa mbadala ambacho kitatumia upole kusongesha mipango yao na si ukali kwani aina ya siasa kwa kipindi hiki imebadilika hivyo inapaswa pia vyama vya upinzani vitoe mwelekeo tofauti utakao sababisha matokeo mazuri.
Hujajibu swali langu Mkuu! Hiyo mikoa niliyokutajia wameunga sana juhudi vipi wanatokea kigoma? Na vipi hawana njaa?Kigoma siasa mnaijua na ni wajasiri tatizo tamaa na usaliti ona kaburu, njoo zito mifano midogo tu hiyo mnaendekeza njaa
Kodi zetu zinatumika vibaya hadi natamani kukwepa kulipa kodi.View attachment 1408355
Mabulungutu ya aibu
Heri ya saccos kuliko chama kinachomilikiwa na familiaJana ndo baba watoto wako!? Karibu SACOS
Hatuamini vijana kutoka kigoma most of them cheapest na wanathamin matumbo yao kuliko kitu chochote mda wowote wanabadilika badilika.
Kihistoria tu vijana wajue NCCR haijawahi kuwa na mashiko kigoma, sasa leo hii itaweza.
Pili tangu lini kinyago kikamtisha mtengenezaji, hao vijana wa ACT na CHADEMA, bwana zitto ndio alikuwa kama role model wao leo wameungana kumuattack hawataweza maana zitto anawajua A to Z
Ngoja uone wanavyopotea.
Ungekuwa na akili ungejua mengi yanayondelea, tatizo huna akili kaa kama ulivyo!Ila makada wa chadema wako "volatile" sana! Mbowe ameshindwa "kuwapika" kiitikadi na matokeo yake wanabadilisha vyama hovyo kwa kusosa msimamo.
Mkutano huo umeleta ile kitu inaitwa BIG RESULTS NOW.Mkutano wa raisi na mbatia ndio matokeo yake haya! waliokuwa hawamjui mbatia ndio huyu tulikuwa tukiwaambia! hana maana huyu mtu kwani ni mtu wa maslahi binafsi!
Ya mbatia itabuma nayo kama ilivobuma ya kuwatumia wasiojulikana, polisi,DPP, msajili,wakurugenzi,manunuzi, teuzi,nk.Mbinu pekee rahisi na salama ya kuuwa upinzani ni kutatua shida za watz ambazo ni ajira, njaa,usalama, kilimo,maslai bora kwa wafanyakazi,kodi rafiki,diplomasia.Hakuna mtz yeyeto amekuwa masikini sababu ya kukosekana kwa ndege,sgr,Dodoma, chato,au sababu ya uwepo wa Mbowe.Ccm bado awajagusa hit point ya Shida za watz wanarukia rukia visivo na tija.Mkutano wa raisi na mbatia ndio matokeo yake haya! waliokuwa hawamjui mbatia ndio huyu tulikuwa tukiwaambia! hana maana huyu mtu kwani ni mtu wa maslahi binafsi!
Wanamuoga kuliko corona.Serikali ni kitu kikubwa haikutakiwa kudili na vitu vidogo vidogo mfano kutwa kucha ni kukimbizana na upinzani ingeshughulika na mambo makubwa vidogo vidogo hivi wangeachiwa kina bashiru na polepole ndio saizi yao hii ni aibu aisee.Hapo ndo umuhimu wa safari za nje ili kupata exposure.
Nendeni zenu vijana Maisha ni popote Msambaa mmoja havunji Soko
Frank Ruhasha kutoka Chadema alisema amekuwa katika chama hicho kwa zaidi ya miaka 13 na amewahi kushika nafasi mbalimbali za uongozi katika mkoa wa Kigoma ikiwemo ya katibu wa chama hicho wilaya ya Kigoma,mjumbe baraza kuu taifa na mjumbe mkutano mkuu wa chama taifa.
Amesema ameamua kukikimbia chama chake cha mwanzo kutokana na kutokuwa na matarajio ya kushika dola kutokana na aina ya siasa wanazo zifanya kwa sasa.
Aidha Ruhasha ameongeza kuwa kwa sasa kinahitajika chama chenye siasa mbadala ambacho kitatumia upole kusongesha mipango yao na si ukali kwani aina ya siasa kwa kipindi hiki imebadilika hivyo inapaswa pia vyama vya upinzani vitoe mwelekeo tofauti utakao sababisha matokeo mazuri.
Ttzo paymaster ni the same person wa Siasa za kitoto kishamba a failure manPunguzeni hasira, hayo ni maauzi yao, mbona wakitoka kungine na kuingia Chadema na Act mnashangilia? Kubalini yaishe, huo ndio mzunguko wa siasa.