Frank Ruhasha, ametangaza rasmi kujiondoa CHADEMA na kujiunga NCCR Mageuzi

Nendeni zenu vijana Maisha ni popote Panduka Pandika Msambaa mmoja havunji Soko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kodi zetu zinatumika vibaya hadi natamani kukwepa kulipa kodi.
Unalipa kodi inayokwenda kuuwa upinzani badala ya kutatua shida zetu
Yaani inauma kwelikweli TRA inatukamua halafu mabulungutu anakabidhiwa Polepole kwenda kufanyia ujinga
 
Yaani inauma kwelikweli TRA inatukamua halafu mabulungutu anakabidhiwa Polepole kwenda kufanyia ujinga
Wengine hata mlo mmoja ni shida tumefanywa masikini kimakusudi ili tutawaliwe kirahisi wao wanasaza na kuvimbiwa kodi zetu hawawezi ona uchingu,jua letu,mvua yetu.
 
Wewe umesema ukweli kigoma ni waganga njaa tu hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhama vyama sio issue, wananchi wanapambana na corona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…