carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Huyu jamaa mnafiki Sana, Mwenyekiti wa ACT WAZALENDO ni makamu wa Rais huko kwenye serikali ya CCM huku Zanzibar.Naibu waziri kivuli wa kilimo, mifugo na uvuvi kutoka ofisi ya wasemaji wa kisekta wa chama cha act wazalendo, frank ruhasha, amesema kuwa mauaji na ukatili uliotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 havikulenga kudhibiti maandamano, bali vyombo vya dola vilifanya mauaji ya makusudi kwa kuwalenga raia kwenye sehemu za uhai.
akizungumza leo, oktoba 31, 2026, katika mahojiano maalum na kituo cha royal tv plus, ruhasha amesema kuwa matukio hayo yameacha simanzi nzito kitaifa kwa sababu raia walipigwa risasi za kichwani na kifuani badala ya kuchukuliwa hatua za kawaida za kudhibiti ghasia.
"matukio ya tarehe 29 mwaka jana ni matukio ambayo yanaumiza sana na yanasikitisha sana. sisi hatujazoea kwamba sisi kwa sisi tunaweza tukapigana risasi za kichwani... risasi yenye lengo la kudhibiti inaweza ikapiga chini au miguuni ili mtu asiweze kusonga mbele, lakini inapotokea watu wanapigwa risasi kichwani na vifuani kwa namba hizo tunazosikia, ni mambo ya kuhuzunisha sana,"amesema ruhasha.
aidha, ruhasha ameongeza kuwa ukatili huo haukuwaumiza tu wale waliopoteza wapendwa wao, bali umemjeruhi kisaikolojia kila mtanzania.
amemalizia kwa kusisitiza kuwa njia pekee ya kuponya jeraha hilo si kutumia maneno matupu au kauli za kisiasa kama “never again”, bali serikali lazima ichukue hatua za dhati za kiutendaji na kuziba nyufa zote zilizosababisha maafa hayo ili kurejesha utulivu wa kweli nchini.
Soma Pia : Askofu Emmaus Mwamakula: Tume ya Jaji Lila imekwepeshwa mambo muhimu juu ya Mauaji ya Oktoba 2025
Chanzo : Royal Tv
No body dares to utter the names of these killers? Their whereabouts?
Wanafiki wakubwa hawa.ACT mlijua CCM imeua watz, mkaenda kugawana nao madaraka ya damu
💯%Inamaana walikuwa hawataki majeruhi wa kusimulia tukio
walidhani watafuta ushahidi
kumbe dunia nzima inawaona uovu wao.
damu ya mtu ina harufu.
Wanafaamika na wanaishi mitaani huku. Wao wenyewe wanasema tayari ni wafu wanaotembea japo wanawaonea sana huruma watoto wao hichi walichokifanya.No body dares to utter the names of these killers? Their whereabouts?
Kubwa jinga.Mtu unamuona kabisa anawasha moto kituo cha mafuta,unamlemga na manati ?Naibu waziri kivuli wa kilimo, mifugo na uvuvi kutoka ofisi ya wasemaji wa kisekta wa chama cha act wazalendo, frank ruhasha, amesema kuwa mauaji na ukatili uliotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 havikulenga kudhibiti maandamano, bali vyombo vya dola vilifanya mauaji ya makusudi kwa kuwalenga raia kwenye sehemu za uhai.
akizungumza leo, oktoba 31, 2026, katika mahojiano maalum na kituo cha royal tv plus, ruhasha amesema kuwa matukio hayo yameacha simanzi nzito kitaifa kwa sababu raia walipigwa risasi za kichwani na kifuani badala ya kuchukuliwa hatua za kawaida za kudhibiti ghasia.
"matukio ya tarehe 29 mwaka jana ni matukio ambayo yanaumiza sana na yanasikitisha sana. sisi hatujazoea kwamba sisi kwa sisi tunaweza tukapigana risasi za kichwani... risasi yenye lengo la kudhibiti inaweza ikapiga chini au miguuni ili mtu asiweze kusonga mbele, lakini inapotokea watu wanapigwa risasi kichwani na vifuani kwa namba hizo tunazosikia, ni mambo ya kuhuzunisha sana,"amesema ruhasha.
aidha, ruhasha ameongeza kuwa ukatili huo haukuwaumiza tu wale waliopoteza wapendwa wao, bali umemjeruhi kisaikolojia kila mtanzania.
amemalizia kwa kusisitiza kuwa njia pekee ya kuponya jeraha hilo si kutumia maneno matupu au kauli za kisiasa kama “never again”, bali serikali lazima ichukue hatua za dhati za kiutendaji na kuziba nyufa zote zilizosababisha maafa hayo ili kurejesha utulivu wa kweli nchini.
Soma Pia : Askofu Emmaus Mwamakula: Tume ya Jaji Lila imekwepeshwa mambo muhimu juu ya Mauaji ya Oktoba 2025
Chanzo : Royal Tv
Act ni mabingwa wa unafikiNaibu waziri kivuli wa kilimo, mifugo na uvuvi kutoka ofisi ya wasemaji wa kisekta wa chama cha act wazalendo, frank ruhasha, amesema kuwa mauaji na ukatili uliotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 havikulenga kudhibiti maandamano, bali vyombo vya dola vilifanya mauaji ya makusudi kwa kuwalenga raia kwenye sehemu za uhai.