[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoo. Mumuache rafiki angu, kawakosea nn nyie?? Khaaaaah.Nimemuona mahali yuko mbio [emoji125] huku akihemea juu juu na tshirt lake kubwa na lenye rangi nyekundu la Mo energy [emoji36]!
Bila shaka ndiyo anakuja sasa kuuzindua rasmi huu mjadala. Karibu sana ndugu mgeni rasmi Mheshimiwa cocastic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msiponi zungumza mtakuwa na aman? Hadi mnitaje star wenu tena kipenziiii, Weraaaaaaaaah.Tutegemee makubwa kutoka kwake [emoji23]
Huu uzi tuliuona kabla hata huna wazo la kujiunga jf..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unawashwa sana eeeh?? Unataka nikupe no yake Frankie? Nilishajifaragua huko juuu Kitamboo sana.
Poleeeeh kwa kuuona leo.
Sema una kipaji cha kuwazungumzia machoko[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msiponi zungumza mtakuwa na aman? Hadi mnitaje star wenu tena kipenziiii, Weraaaaaaaaah.
Hizo sio shida zangu, kwan unateseka na mie????Huu uzi tuliuona kabla hata huna wazo la kujiunga jf..
Unachekesha [emoji23][emoji23]
Na mnawapenda na kuwakubali hao machoko. Kutwa mpo dede kusoma, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema una kipaji cha kuwazungumzia machoko[emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
TUtake ladhi wanaumeKipaji hicho kinawakilisha wanaume wa Dar, mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) shule ya biashara (UDBS).
View attachment 687493 View attachment 687495
umefufuwa uzi 😀Aisee mambo ni motooooo
Dah una story za kijinga sana na Imani za hovyo mno. 🚮🚮🚮Kuna mama mmoja alizaa watoto wengi wa kike alipo beba mimba mimba nyingine akaenda kipiga ultra sound akaambiwa wa mtoto ni wa kike akaenda Kwa mganga kumbadilisha awe wa kiume.
Baadae akaachana ma mumewe mtoto akalelewa kwa bibi kizaa baba. Sasa Kwa bibi Kuna mtoto mwingine was shangazi mtu.
Kwa hiyo mabinamu,... Sasa huyu binamu ni mkubwa kidogo akawa anamuingilia huyu dogo aliyebadilishwa jinsia kuwa mwanaume kinyume na maumbile...
Mtoto akasemelea shuleni ndio mama mtu akawa analalamika kuwa mtoto mwenyewe ni wakiume pekee halafu anafanyiwa hivyo.
Mzazi usibadilishe jinsia ya mtoto akiwa tumboni. Wewe kubaliana ma mtoto yeyote utakayempata... Huko Kanda ya ziwa ipo sana wajaruo, wakurya wasukuma ni mashahidi
NimemwelewaKipaji hicho kinawakilisha wanaume wa Dar, mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) shule ya biashara (UDBS).
View attachment 687493 View attachment 687495
Kwahiyo unaamini kabisa Sangoma anaweza kubadili jinsi ya mtoto akiwa tumboni?Kuna mama mmoja alizaa watoto wengi wa kike alipo beba mimba mimba nyingine akaenda kipiga ultra sound akaambiwa wa mtoto ni wa kike akaenda Kwa mganga kumbadilisha awe wa kiume.