Frankie Maston - Kipaji chenye utata Sampuli ya Wanaume wa Dar

Shape yake ya kike au anajifanyisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ya kike na yeye kajiweka hivyo pia . Aliulizwa kwanini anavaa kike akasema ubunifu na utofauti isitoshe yeye ni mwana mitindo akaongeza zaidi anataka kuufikisha mziki mbali.

Anaongea kike na Pigo zote naimani nafsi inamwambia yeye ni wakike. Kazaliwa hivyo hivy
 
Hii hapa
1651399900059.jpg
 
Wote humu ni wazazi na wengine ni wazazi watarajiwa!!so tujitahidi sana kutokejeli wala kutusi mtu yoyote mwenye tatizo la kimaumbile especially kwa sisi wanaume tusipende kuwakashifu/kuwakejeli watu kama hawa kina Frank, naamini hakupenda kuwa hvi but nature ndo inamlazimisha ie jinsi alivyozaliwa na hormones za kike!!
Tumuombe MUNGU sana mitihani kama hii isikupate katika uzao wako, inaumiza na kufedhehesha sana but ndo hvo wakati mwingine mapenzi ya MUNGU hakuna wa kuyabishia!!tukumbuke !!KARMA IS A BITCH!!
Poleni wazazi wa Frank, MUNGU ndie anaejua kwa nn kawapa huu mtihani!!
 
Wakati mwingine malezi ya wazazi yanachangia kumuharibu mtoto, jaribu kufuatilia Irene Uwoya anavyomlea mtoto wake wa kiume, siku nikisikia amekuwa choko sitashangaa

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Nimemuona mahali yuko mbio 🏃 huku akihemea juu juu na tshirt lake kubwa na lenye rangi nyekundu la Mo energy 😤!

Bila shaka ndiyo anakuja sasa kuuzindua rasmi huu mjadala. Karibu sana ndugu mgeni rasmi Mheshimiwa cocastic
Tutegemee makubwa kutoka kwake 😂
 
Wakati mwingine malezi ya wazazi yanachangia kumuharibu mtoto, jaribu kufuatilia Irene Uwoya anavyomlea mtoto wake wa kiume, siku nikisikia amekuwa choko sitashangaa

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mkuu ukimwangalia huyo kijana unaona kabisa jinsi alivyo sio kwa kutaka kwake au sababu ya malezi bali ndivyo alivyozaliwa.

Msihukumu tu bure ikiwa bado mnaendelea kuzaa au uzao wenu ungali bado upo.
 
Huu uzi wa kitambo kabla hata cocastic hajajiunga jf

Lakini kama hajaja hapa niiteni mbwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unawashwa sana eeeh?? Unataka nikupe no yake Frankie? Nilishajifaragua huko juuu Kitamboo sana.

Poleeeeh kwa kuuona leo.
 
Back
Top Bottom