Frankie Maston - Kipaji chenye utata Sampuli ya Wanaume wa Dar

Frankie Maston - Kipaji chenye utata Sampuli ya Wanaume wa Dar

Kweli ana kipaji, maana kukalia mkuyenye ni kipaji cha hali ya juu sana! Wanaume hatuna kipaji hicho isipokuwa wenzetu wenzao!!
 
Sana mkuu.Wakat naichek hiyo video basi katoto kangu ka kiume kakawa kanakuja ili kaangalie nikai cancel fasta na roho ikaniuma sana.Mungu atusaidiee .

Lakin kuhus huyu dogo mm nishakutana na habar zake kitambo kidogo from one my fellow worker ofcn.Yy ni closest person kwenye familia ya huyo Frankie
Ameish nao karib toka huyu dogo ni mtoto na kwakifup huyu dogo kazaliwa hivyo yan.Plus kwao kama sijasahau ni yy pekee ndio mtoto wa kiume the rest ni wanawake na yy ni kitu kama last born.
Hizo features alianza kuzi display toka utoton sana sana sasa sijui ni wazaz walipuuzia au hawakujua cha kufanya i dnt know.
My fellow workee alinionyesh mpaka picha za huyu dogo toka utoto, ni typically he was all like a her sisters na inaonekana he is transgender.All features and expression ni za KE but he got a Dick.Ndio maan hata sauti hiyo unaiskia sio kama ile ya mapunga tunavyoijua ..he typicall sounds like a girl sauti yake.

Ndivyo alivyo.HAJAANZIA UKUBWAN HIZO MAMBO.
Mkuu unaweza kutuandikia na kiswahili ?
Nimevutiwa na comment yako ila mengi sijayaelewa kabisa
 
Na mavazi ya kike?

Huwa nawalaumu sana mashoga huyu nimeshindwa, hakika nimeamini wapo wa kuzaliwa
Huyo si shoga huyo ni Transwoman,
Wewe wamuona wa kiume sababu ya umbile lake, yeye ajiona wa kike kwenye umbile la kiume,
Kinachomfanya awe wa kike ni nafsi yake, kwa hivyo acha tumuite dada kama mwenyewe ajionavyo.
 
Huyo si shoga huyo ni Transwoman,
Wewe wamuona wa kiume sababu ya umbile lake, yeye ajiona wa kike kwenye umbile la kiume,
Kinachomfanya awe wa kike ni nafsi yake, kwa hivyo acha tumuite dada kama mwenyewe ajionavyo.
Nakubali, huyo ni mwanamke
 
Na nyie Wazazi wenye vijisenti msiwape Raha sana watoto wenu mpaka mkawaharibu,.Waacheni watoto wapate Shuruba kwa kazi za nyumbani,Mara panda juu ya Dari kalete hiki mara Kajenge Banda la kuku au hata Kulima na Kazi zozote Ngumu.Siyo Mtoto kidogo tu mara Mlimani City kula Ice cream mara Kameenda picnick Zanzibar sijui kameenda Tution ya kichina Mara oooh Kanaliwa.
Hata huna unalolijua wew, ni heri ukae kimya tyuuh.
 
Back
Top Bottom