Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaaaah mkuu ujue nimecheka sana hapa. 😛 😛 😛 😛 😛Acha kufananisha wanaume na vitu vya ajabu ajabu
Kipaji hicho kinawakilisha wanaume wa Dar, mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) shule ya biashara (UDBS).
View attachment 687493 View attachment 687495
Sana mkuu.Wakat naichek hiyo video basi katoto kangu ka kiume kakawa kanakuja ili kaangalie nikai cancel fasta na roho ikaniuma sana.Mungu atusaidiee .We acha tu. Tukiona hivi wenye watoto wadogo wa kiume unaumia roho na kuingiwa na woga.
Mungu hawaepushie mbali balaa hili watoto wetu.
Aseehhh!!!wazazi wake wanachukuliaje hii hali?yaani halafu mmegundua hii tabia wanawake ndani wakiwa wengi mtoto wa kiume alelewe kiume mkicheza mnamkosaSana mkuu.Wakat naichek hiyo video basi katoto kangu ka kiume kakawa kanakuja ili kaangalie nikai cancel fasta na roho ikaniuma sana.Mungu atusaidiee .
Lakin kuhus huyu dogo mm nishakutana na habar zake kitambo kidogo from one my fellow worker ofcn.Yy ni closest person kwenye familia ya huyo Frankie
Ameish nao karib toka huyu dogo ni mtoto na kwakifup huyu dogo kazaliwa hivyo yan.Plus kwao kama sijasahau ni yy pekee ndio mtoto wa kiume the rest ni wanawake na yy ni kitu kama last born.
Hizo features alianza kuzi display toka utoton sana sana sasa sijui ni wazaz walipuuzia au hawakujua cha kufanya i dnt know.
My fellow workee alinionyesh mpaka picha za huyu dogo toka utoto, ni typically he was all like a her sisters na inaonekana he is transgender.All features and expression ni za KE but he got a Dick.Ndio maan hata sauti hiyo unaiskia sio kama ile ya mapunga tunavyoijua ..he typicall sounds like a girl sauti yake.
Ndivyo alivyo.HAJAANZIA UKUBWAN HIZO MAMBO.
Nenda IG yake ni Dada kabisaa
mzee ulikua una search nn hadi hadi ukafufua ili jenezaMkuu sometimes homoni zinazingua
Dah!inasikitisha,O-level nilisoma na chalii mmoja wa kichaga ana sura ya kike bonge la shepu na hipsi za maana tu,babilon kishezi hataki marafiki yuko kivyakevyake,sema alikua anapiga judo mixer kick boxer,mwili umekaza kweli kweli na ni mbabe vibaya,ukianzisha nae vita ujue haviishi.hakuna aliyethubutu kumtania,ole wako ujaribu utajuta.Sasa Yeye anapigwa pu. Mbu
Hahahaha, nipe link yake, mambo vipi Rafiki ,mzima ,JF sweetheartNenda IG yake ni Dada kabisaa
Hahahaha, hebu nipe yako huko IG nione unavyotupia super star wangu wa JFNenda IG yake ni Dada kabisaa
Dah mkuu imenisikitisha kweli hii habari, IG page amepost picha ambapo amevaa nguo za kike kabisaa, kama ulivyosema pengine wazaz wake walipuuzia au hawakujua cha kufanya. Ila huu ni mtihani mkubwa sana kwa wazazi wake na si vizuri kuwalaumu maana najiuliza je ingebidi wampeleke hosp then aanze kutumia hormones za kiume kwa wingi toka utotoni ili kupunguza na hata kuondoa hizo features za kike? je matokeo yake yangekuwaje? je wazazi wake walikuwa na uwezo huo kipindi hicho cha kununua hayo mahormones na madawa mengine? Dah inauma huyu kijana ni ngumu kufanya tendo na mwanamke to the fullest, sasa hatimaye utakuta ashakuwa gay pengine. Aliwahi kuhojiwa na the Citizen ikaandikwa hiviSana mkuu.Wakat naichek hiyo video basi katoto kangu ka kiume kakawa kanakuja ili kaangalie nikai cancel fasta na roho ikaniuma sana.Mungu atusaidiee .
Lakin kuhus huyu dogo mm nishakutana na habar zake kitambo kidogo from one my fellow worker ofcn.Yy ni closest person kwenye familia ya huyo Frankie
Ameish nao karib toka huyu dogo ni mtoto na kwakifup huyu dogo kazaliwa hivyo yan.Plus kwao kama sijasahau ni yy pekee ndio mtoto wa kiume the rest ni wanawake na yy ni kitu kama last born.
Hizo features alianza kuzi display toka utoton sana sana sasa sijui ni wazaz walipuuzia au hawakujua cha kufanya i dnt know.
My fellow workee alinionyesh mpaka picha za huyu dogo toka utoto, ni typically he was all like a her sisters na inaonekana he is transgender.All features and expression ni za KE but he got a Dick.Ndio maan hata sauti hiyo unaiskia sio kama ile ya mapunga tunavyoijua ..he typicall sounds like a girl sauti yake.
Ndivyo alivyo.HAJAANZIA UKUBWAN HIZO MAMBO.
Frank maston niliacha kumfolow Mimi bwana na mashoga hapanaAnatumia jina gan mkuu
Mzima mimi anaitwa Frank mastoniHahahaha, nipe link yake, mambo vipi Rafiki ,mzima ,JF sweetheart
Sent using Jamii Forums mobile app