and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Nani wa kumnunulia huo usafir masela si unajua tena!Joshua ok mbona unafufua kaburi la haraiki.
Namfahamu huyu chalii, kina siku kanipita maeneo ya Survey daaah ilikuwa balaa, yaani ana tako kabisa. Dogo anapata shida sana, bora atafute hata usafiri private.
Sent using Jamii Forums mobile app