Debwadebwa
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 204
- 278
Kipaji hicho kinawakilisha wanaume wa Dar, mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) shule ya biashara (UDBS).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamitindo, mwanamuziki etcKWAHIYO HUYU NAE NI MWANAUME ACHA MASIHARA BASI MKUU
kwanza ndiye nani huyu ..anakipaji kinacho wasilishwa na taaluma ipi ...hebu jazia nyama kwanza basi
Ohoooooo mwanaume huyoSio wa kiume huyo acha zako
Me wa DSMHuyo ni me?
Aaaghh kama ni mwanamitindo sawa sishngai kabisaaa wana mitindo wengi ni mapunga mkuu..mwanamitindo, mwanamuziki etc
Mwanaume ana hips sehemu zake za kifuani zime simama na kupanuka kama ana maziwa lolKama kweli wa kiume mungu kamuumba ila ikimwangalia mikono yake na mapaja kuna utata kidogo hongera zake kwa kua mbunifu wa nyimbo ni hayo tu mimi na pita
We acha tu. Tukiona hivi wenye watoto wadogo wa kiume unaumia roho na kuingiwa na woga.Ameshawah kufikr wazaz wake wanajisikiaje juu yake?
Mkuu sio binti huyuUyu binti katulia, katoa nyimbo ngapi mpaka sasa?