Frankly Speaking Burna Boy is too much overrated

Kwa jinsi show yake ya jana,ilivyokua mmmhhh kawaida sana,labda kwa level za wazungu watakua wanamuelewa sana mchizi,ila kibongo bongo msela bado mnoooo.....
Kaja bongo kafanya kibongo...
Watu washapigwa
 
Alichofanya ndo kilichostahili.Kwa sababu asiye kuwa na jogoo ndo hupenda kuchinja.
 
Nadhani ni wakati sisi tukabadilika na kutopenda ya siwasikiii
Kama wampenda fulani sema yeeeeeea
Mikono juu
Fanya hiviiiii
 
Ulilipa kiasi mzee maana vile viingilio walivyokua wanataja mmmmnh utasema anakuja Chris brown
Kwa jinsi show yake ya jana,ilivyokua mmmhhh kawaida sana,labda kwa level za wazungu watakua wanamuelewa sana mchizi,ila kibongo bongo msela bado mnoooo.....
 
Tema mate chini burna boy yule ni mnyama,kibongobongo hakuna anayemfikia Msela,hata ukiniwekea na wizkid mi namchagua burna mtu mbaya
 
Siku hizi redio za Ulaya ni kawaida kumsikia Burna Boy on air. Yaani kawapiga bao wote.
 
Kwa jinsi show yake ya jana,ilivyokua mmmhhh kawaida sana,labda kwa level za wazungu watakua wanamuelewa sana mchizi,ila kibongo bongo msela bado mnoooo.....
sure nadhani kuna kafara kaifanya kubwa sana kuweza kuhit huko states
 
Kwa jinsi show yake ya jana,ilivyokua mmmhhh kawaida sana,labda kwa level za wazungu watakua wanamuelewa sana mchizi,ila kibongo bongo msela bado mnoooo.....
huyo ni mtu wa kubumba tu
 
Blah!! Blah!!
Show za akina Burna boy na wizkid na wengine kutoka ng'ambo huwa ni kubwa mpaka zina zidi uwezo wa mashabik wa kibongo, na ndo mana wakiperfom huku wana onekana kawaida,wabongo tumezoe zile,,nyosha mikono juu,,washa tochi ya simu na brabra kama hzo,,
Bra.. ni kitu kingine
 
Back
Top Bottom