Kanishangaza sana kudharau derbyLamp alidharau game
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanishangaza sana kudharau derbyLamp alidharau game
weupe sanaWanigeria kwenye shoo hamnaga kitu.
Nyie kwenu msanii si diamond tu pumbav.Kwa jinsi show yake ya jana,ilivyokua mmmhhh kawaida sana,labda kwa level za wazungu watakua wanamuelewa sana mchizi,ila kibongo bongo msela bado mnoooo.....
akikujibu hii unitag.ufafanuzi kidogo mkuu
Kaja bongo kafanya kibongo...Kwa jinsi show yake ya jana,ilivyokua mmmhhh kawaida sana,labda kwa level za wazungu watakua wanamuelewa sana mchizi,ila kibongo bongo msela bado mnoooo.....
Pumbavu squareNyie kwenu msanii si diamond tu pumbav.
Kwa jinsi show yake ya jana,ilivyokua mmmhhh kawaida sana,labda kwa level za wazungu watakua wanamuelewa sana mchizi,ila kibongo bongo msela bado mnoooo.....
hahahaaa....Ulilipa kiasi mzee maana vile viingilio walivyokua wanataja mmmmnh utasema anakuja Chris brown
sure nadhani kuna kafara kaifanya kubwa sana kuweza kuhit huko statesKwa jinsi show yake ya jana,ilivyokua mmmhhh kawaida sana,labda kwa level za wazungu watakua wanamuelewa sana mchizi,ila kibongo bongo msela bado mnoooo.....
huyo ni mtu wa kubumba tuKwa jinsi show yake ya jana,ilivyokua mmmhhh kawaida sana,labda kwa level za wazungu watakua wanamuelewa sana mchizi,ila kibongo bongo msela bado mnoooo.....
Mapimbi maji nyiePumbavu square
Bra.. ni kitu kingineShow za akina Burna boy na wizkid na wengine kutoka ng'ambo huwa ni kubwa mpaka zina zidi uwezo wa mashabik wa kibongo, na ndo mana wakiperfom huku wana onekana kawaida,wabongo tumezoe zile,,nyosha mikono juu,,washa tochi ya simu na brabra kama hzo,,
Anaimba sana jamaa, sikiliza DANGOTE ni hatari, nilikua sijui hii ngoma ni ya nani kumbe ni burnaboyI agree...
labda wimbo wake ule wa Angelina...nyingine zote upuuzi tu
Kiingilio nilikuwa kuanzia laki (Ticket za kawaida ) Na ukumbi ulijaa pomoni ... Endeleeni kuchongaLicha ya show jamaa kweli yupo Over rated...!!