Frateli ni nani katika Kanisa Katoliki?

Frateli ni nani katika Kanisa Katoliki?

Ekibanja

Member
Joined
Oct 10, 2022
Posts
23
Reaction score
55
Wakuu habari za muda!! Naomba kujua Frateli ni nani katika Kanisa Katoliki na Shemasi ni nani na wana ngazi gani za elimu?
 
Hapo kuna watu wawili kwenye nafasi mbili kuna ndugu kiroho na msaidizi wa kiroho.

Ila kwa tamaduni mlizo zoezwa huko makanisani kwa sasa huyo frateli hana nafasi ila utasikia baba, mama wa kiroho kama aliyekusimamia kwenye kipa bora ooh sorry kipaimara au ubatizo.

Shemasi kadharika hiyo mtu mmemfanya ndiye anasimamia wavaa nusu utupu, vibaka, kukusanya mapato ya kanisa nk na ameacha nafasi yake inayotakiwa ya usimamizo kiroho.

Note; hayo ni kwa jinsi nilivyofahamu.
 
Mkuu TODAYS Flateri yupo na Shemasi yupo na Flateri sio mama au baba wa kiroho hapo utuwie radhi kidogo,
 
Hizo ni Stages tu kwenye ngazi za kuwa padri ..frateli hapa huwa ndo anaanza mafunzo na kupewa basics na huchukua muda mrefu mpaka miaka au 8 kutegemeana na shirika ..ukifuzu unaenda kuwa shemasi hapa hukai sana haipiti miaka mi2 unakua padri
Pia wametofautiana kimajukumu shemasi ana madaraka makubwa kwenye kumsaidia padri wakati wa ibada tofauti na flateri
 
Wakuu habari za muda!! Naomba kujua frateli ni nani katika kanisa katoliki na Shemasi no nani na wana ngazi gani za elimu
Hakuna ngazi ya elimu ni kama vile stage ya ukuaji ya binadamu utakua mtoto ,utaenda balehe ,ndo utakua mtu mzima vivyo hivyo huanza flateri ,shemasi halafu padri
 
Hizo ni Stages tu kwenye ngazi za kuwa padri ..frateli hapa huwa ndo anaanza mafunzo na kupewa basics na huchukua muda mrefu mpaka miaka au 8 kutegemeana na shirika ..ukifuzu unaenda kuwa shemasi hapa hukai sana haipiti miaka mi2 unakua padri
Pia wametofautiana kimajukumu shemasi ana madaraka makubwa kwenye kumsaidia padri wakati wa ibada tofauti na flateri
Jibu sahihi☝️
 
Shemasi ni yule anasubiri kupewa daraja la Upadri, kigogo yupi unamzungumzia amesomea Theology hapo Jordan University?
Screenshot_20221113-231031.png
 
Hapo kuna watu wawili kwenye nafasi mbili kuna ndugu kiroho na msaidizi wa kiroho.

Ila kwa tamaduni mlizo zoezwa huko makanisani kwa sasa huyo frateli hana nafasi ila utasikia baba, mama wa kiroho kama aliyekusimamia kwenye kipa bora ooh sorry kipaimara au ubatizo.

Shemasi kadharika hiyo mtu mmemfanya ndiye anasimamia wavaa nusu utupu, vibaka, kukusanya mapato ya kanisa nk na ameacha nafasi yake inayotakiwa ya usimamizo kiroho.

Note; hayo ni kwa jinsi nilivyofahamu.
Usishadadie usivovijua
 
Back
Top Bottom